under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 389
- 595
mimi nikimadetate huwa napitiwa na usingizi mazimaKuna watu mtakuja kupitilizia huko huko mkashindwa kurudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nikimadetate huwa napitiwa na usingizi mazimaKuna watu mtakuja kupitilizia huko huko mkashindwa kurudi
Uchawi ni nini?Uchawi huo...
Hii theory siishangai najua inakoelekea "that ur god inour own influence" inshort ur god. Sibishani lkn chunguzaMeditation ukiwa committed nayo itakufanya uweze kuijua kweli, ujijue wewe halisi (soul). It's a spiritual journey na sio religious journey, hata hicho unachokiita ushetani u takuja kugundua ni stori tu ambazo umesimuliwa/umefundishwa. The kingdom of God is within you, zama ndani yako utajijua wewe halisi ni nani.
Ni giza...Uchawi ni nini?
Nina miaka 11 sasa ndani ya meditation kutwa mara 3 kila siku , huo uchawi sijauona labda uelezeea wewe ilikuaje ukafanya meditation ukaona uchawi?Ni giza...
Jifundishe kwanza nini maana ya meditation na dhumuni lake na faida zake kimwili , kuliko kuongelea kitu ambacho hata kukifanya haujawahi zaidi ya maneno ya kuokoteza tu.Hii theory siishangai najua inakoelekea "that ur god inour own influence" inshort ur god. Sibishani lkn chunguza
Halafu kwa nini Wahindi ?kuna mavitu ya ajabu ajabu kama dini flani vile...nikama siri ya kudaivu ndani y kina kirefu cha maji...Meditation. Ni ushetani.
Mtu kuingia katika trance under unknown spiritual guide. Nikuwa demon posessed.
Kwa namna yule Mhindi ikuwa anatufundisha nilikuja kujua si salama.
Endeleeni yatawakuta
Martial art practioner ( Guji ruu) nisijue meditation? Nimefanya Yoga early stages, najua fundisha la kutibu maradhi kadhaa kwa Yoga meditation, najua ninachoongelea. Labda kama unamaanisha tafakari lkn sio kuwa nje ya mwili na kuwa ktk ulimwengu mwingine. Wewe elezea jinsi atakavyokuwa mtu akiwa amekuwa nje ya mwili halafu wakuchagua kwa hiari yao wachague , maana hata ushirikina na uchawi watu wanaamua kujifunza .Jifundishe kwanza nini maana ya meditation na dhumuni lake na faida zake kimwili , kuliko kuongelea kitu ambacho hata kukifanya haujawahi zaidi ya maneno ya kuokoteza tu.
Hii ndio imani yao in advance stage unajifunza incarnation of the soul. Yaani haufiHalafu kwa nini Wahindi ?kuna mavitu ya ajabu ajabu kama dini flani vile...nikama siri ya kudaivu ndani y kina kirefu cha maji...
Kuna centre nyingi mijini mitaa ya Uhindini
Saa tisa nasali pia rosaliNina miaka 11 sasa ndani ya meditation kutwa mara 3 kila siku , huo uchawi sijauona labda uelezeea wewe ilikuaje ukafanya meditation ukaona uchawi?
Halafu unaweza kuta wewe ni mkatholic unasali rozali ila unasema meditation ni uchawi
🤔🤔
Kwa fikra zako wewe haujawahi kufanya meditation zaidi ya kusikia tu , au ulifanya kwa kutegemea jambo fulani na kusikia stories tu , meditation ni safari unayofanya kwa uzoefu wako mwenyewe na sio kwa imani ,ungekua angalau umefanya usingefikiri ukivyofikiri .Martial art practioner ( Guji ruu) nisijue meditation? Nimefanya Yoga early stages, najua fundisha la kutibu maradhi kadhaa kwa Yoga meditation, najua ninachoongelea. Labda kama unamaanisha tafakari lkn sio kuwa nje ya mwili na kuwa ktk ulimwengu mwingine. Wewe elezea jinsi atakavyokuwa mtu akiwa amekuwa nje ya mwili halafu wakuchagua kwa hiari yao wachague , maana hata imushirikina na uchawi watu wanaamua kujifunza .
Meditation sio imaniHii ndio imani yao in advance stage unajifunza incarnation of the soul. Yaani haufi
Ndugu min me kwa miaka 11 ya kufanya medttn, tusaidie kujua faida zake kiuhalisia mkuu.Kwa fikra zako wewe haujawahi kufanya meditation zaidi ya kusikia tu , au ulifanya kwa kutegemea jambo fulani na kusikia stories tu , meditation ni safari unayofanya kwa uzoefu wako mwenyewe na sio kwa imani ,ungekua angalau umefanya usingefikiri ukivyofikiri .
Jinsi meditation ilivyo moja kwa moja inakukataa kwamba wewe haujui hata meditation ni nini🤔
Haya ngoja nikuache uendele kuaminisha kuwa hukufundishwa ulifanya tu mwenyewe , yaani imekutokea from nowhere. I beg you STOP IT. ACHAKwa fikra zako wewe haujawahi kufanya meditation zaidi ya kusikia tu , au ulifanya kwa kutegemea jambo fulani na kusikia stories tu , meditation ni safari unayofanya kwa uzoefu wako mwenyewe na sio kwa imani ,ungekua angalau umefanya usingefikiri ukivyofikiri .
Jinsi meditation ilivyo moja kwa moja inakukataa kwamba wewe haujui hata meditation ni nini🤔
Mkuu which demon possessed you, how were you acting after being attacked n how was it removed???Haya ngoja nikuache uendele kuaminisha kuwa hukufundishwa ulifanya tu mwenyewe , yaani imekutokea from nowhere. I beg you STOP IT. ACHA
Meditation ni wewe mwenyewe utulivu wako na mwili wako na uzoefu wako , mimi sina chakuongeza .Ndugu min me kwa miaka 11 ya kufanya medttn, tusaidie kujua faida zake kiuhalisia mkuu.