Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 469
- 724
Oya hiyo avatar ni ya mtu Gani mbona picha yake naionaona sana humu jfniko pamoja na mtoa mada ( ukiachana na avatar yake )
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya hiyo avatar ni ya mtu Gani mbona picha yake naionaona sana humu jfniko pamoja na mtoa mada ( ukiachana na avatar yake )
naomba ubaki ivyoivyo usimjueOya hiyo avatar ni ya mtu Gani mbona picha yake naionaona sana humu jf
Dah haya sawa! Ila nikapata Jina lake tu nitamjua vizurinaomba ubaki ivyoivyo usimjue
utanishukuru mzee
Ongezea hiiYaani umetoa mchanganuo mkubwa kama TRA
Johnny SinsDah haya sawa! Ila nikapata Jina lake tu nitamjua vizuri
mkuu ukiwa na pesa na mademu ni vitu vinakwenda sambamba,kama hela yako ni za mawazo huwezi kuwa na mdemu 4 kwa mweziHapa Dar es salaam gharama za kukutana na demu moja japo mara moja kwa siku kwenye guest, hiya hapa.
Guest house sh. 20,000.
Ngao. 1000
Usafiri wa bajaji 7000.
Chakula na vinwaji. 12000
Pesa ya kumuaga demu 10,000.
Jumla. 50,000.
Kwa mwezi kama unakutana nae mara 4. Hiyo ni 200,000 hiyo hapo hamna mizinga mingine. Ukiwa na demu watatu ni 600,000 kwa mwezi
Sasa niambie we mtumishi mwenye mshahara wa 800,000 utatoboa je? kwa ngono kama hizo? Kwasabb una bakiza 200,000 kwenye mshahara wako, hizo ndo nuksi zenyewe practical
Kuna watu hawajipimii uwezo wao wana ongonzwa na tamaa za miili yao.mkuu ukiwa na pesa na mademu ni vitu vinakwenda sambamba,kama hela yako ni za mawazo huwezi kuwa na mdemu 4 kwa mwezi
We msnge wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hebu tufanye tuache porno nazo ni ulevi tu kama ngono.[emoji23][emoji1666][emoji1666] Step son seduces step mother
Tena uoge maji ya chumvi hai sio zile mfu za dukani.Ngono ina maajabu, hata kama ni mke wako unatakiwa uoge vizuri kabla ya kuanza safari.