Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?


wakati unaingia wanakuambia 30,000/= ila humo ndani unachombezwa na nyongeza ya vikorombwezo pasi na kujua kwamba bili inapaa
 
si lazima kila wanachokifanya wao na sisi tufanye na si lazima wasichokifanya wao basi na sisi tusifanye. assume tu kwamba na sisi tunauwezo wa kubuni, kama miafrika ni mabingwa wa kuiga mbona hawawaigi waskotish kuvaa sketi?

ina maana hii ngozi ya usoni inakufa kwa wazungu tu? au hujamsoma vizuri Pasco?
 
napenda kujifunza mambo ya masj na scrub nimfanyie mpendwa wangu tunanunua tu vifaa na hizo components nadhani mkiwa na nyumba kubwa mnaweza mkatenga chu,ba kimoja kiwe cha masaji na scrub na kugegedana maana hayo mambo mwisho wake ni mbaya

kwa kweli kabisa, tena ukiingia wanakwambia nafunga mlango hakuna wa kuingia huku maana yake uko kwenye risk area tayari na wadada wengi wa saluni ni kama wameshajilipua
 
kwa kweli kabisa, tena ukiingia wanakwambia nafunga mlango hakuna wa kuingia huku maana yake uko kwenye risk area tayari na wadada wengi wa saluni ni kama wameshajilipua

wengi wana nyaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…