Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UwiiiiiiiiHaina madhara hiyo kiafya. Sema zinatakiwa angalau tatu kwa siku.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo sasa ndio kwa hafya....Uwiiiiiiii
kuna watu hudai wale wazee waliozeeka wakiwa wamepinda migongo ujanani ndio walikuwa na tabia hizi sijui kweli😀
Aisee kuna possibility kubwa ya wewe kutomridhisha mpenzio kwa hiko kimoja kwasababu avarage ya mwanaume kuejaculate kwa bao la kwanza normally ni 2-4 minutes labda uwe umetumia kichochezo ie. Pombe, dawa ya kukufanya uchelewe. Pia kwa mwanamke kama hujamuandaa kwa kawaida ni 16-20 minutes na ukimuandaa vya kutosha waweza kuzishusha hizo dakika mpaka 3.Waku hamjambo,
Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
kama mlo ni mzuri hakika tezi dume ni story hapo baadae...usiache hyo ni nzuri sana kwa afya ya mfumo wako wa uzazi mkuu.Waku hamjambo,
Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
Kwa mpenzi mmoja tu lazima ukinai.. Alafu kwanini watu wasiwe wanafanya pale wanapokuwa katika right mood.?Kama yangekuwepo mashindano ya kugegedana kila siku Watanzania tungekuwa tunachukua tuzo!
Haha mbona yule mzee alisifika kwa kuwapanga kabla hajaingia mjengo mweupe pale lakini baadae tezi zikampitia [emoji2] [emoji2]kama mlo ni mzuri hakika tezi dume ni story hapo baadae...usiache hyo ni nzuri sana kwa afya ya mfumo wako wa uzazi mkuu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Aisee kuna possibility kubwa ya wewe kutomridhisha mpenzio kwa hiko kimoja kwasababu avarage ya mwanaume kuejaculate kwa bao la kwanza normally ni 2-4 minutes labda uwe umetumia kichochezo ie. Pombe, dawa ya kukufanya uchelewe. Pia kwa mwanamke kama hujamuandaa kwa kawaida ni 16-20 minutes na ukimuandaa vya kutosha waweza kuzishusha hizo dakika mpaka 3.
Mara nyingi mkishazoeana mwaweza wote mkawa mnachelewa na mwanamke akachelewa zaidi au asifike kileleni kabisa. Jaribu kubadirisha ratiba yako uwe unaenda viwili hata vitatu ili umpe uhuru wa mwenzio kulifurahia tendo hilo zaidi.