Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

Mtachokana haraka kukaa siku mbili au zaidi kunaongeza mvuto kwa kila mtu. Bahati mbaya wanawake ni waathirika wakubwa wa mambo hayo pale mwanaume anapobadilika ghafla
 
Waku hamjambo,

Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
Aisee kuna possibility kubwa ya wewe kutomridhisha mpenzio kwa hiko kimoja kwasababu avarage ya mwanaume kuejaculate kwa bao la kwanza normally ni 2-4 minutes labda uwe umetumia kichochezo ie. Pombe, dawa ya kukufanya uchelewe. Pia kwa mwanamke kama hujamuandaa kwa kawaida ni 16-20 minutes na ukimuandaa vya kutosha waweza kuzishusha hizo dakika mpaka 3.
Mara nyingi mkishazoeana mwaweza wote mkawa mnachelewa na mwanamke akachelewa zaidi au asifike kileleni kabisa. Jaribu kubadirisha ratiba yako uwe unaenda viwili hata vitatu ili umpe uhuru wa mwenzio kulifurahia tendo hilo zaidi.
 
kama mlo ni mzuri hakika tezi dume ni story hapo baadae...usiache hyo ni nzuri sana kwa afya ya mfumo wako wa uzazi mkuu.
 
Kama yangekuwepo mashindano ya kugegedana kila siku Watanzania tungekuwa tunachukua tuzo!
Kwa mpenzi mmoja tu lazima ukinai.. Alafu kwanini watu wasiwe wanafanya pale wanapokuwa katika right mood.?
Sio kwasababu mnalala pamoja kwahiyo mkishapanda kitandani tu mdo lol
 
kama mlo ni mzuri hakika tezi dume ni story hapo baadae...usiache hyo ni nzuri sana kwa afya ya mfumo wako wa uzazi mkuu.
Haha mbona yule mzee alisifika kwa kuwapanga kabla hajaingia mjengo mweupe pale lakini baadae tezi zikampitia [emoji2] [emoji2]
 
kuna madhara gani kutumia kiungo chako na kwetu waafrika hicho ni kipaji Mungu katuachia! mbona unakunya kila siku hulalamiki.kitu cha kawaida ila kutokufanya kila siku ndio tatizo
 
Aisee kuna possibility kubwa ya wewe kutomridhisha mpenzio kwa hiko kimoja kwasababu avarage ya mwanaume kuejaculate kwa bao la kwanza normally ni 2-4 minutes labda uwe umetumia kichochezo ie. Pombe, dawa ya kukufanya uchelewe. Pia kwa mwanamke kama hujamuandaa kwa kawaida ni 16-20 minutes na ukimuandaa vya kutosha waweza kuzishusha hizo dakika mpaka 3.
Mara nyingi mkishazoeana mwaweza wote mkawa mnachelewa na mwanamke akachelewa zaidi au asifike kileleni kabisa. Jaribu kubadirisha ratiba yako uwe unaenda viwili hata vitatu ili umpe uhuru wa mwenzio kulifurahia tendo hilo zaidi.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
wanasema kama unaweza kufanya mapenzi hata mara kumi kwa siku ila usikojoe uwe unafika tu orgasm,ungekuwa na mwili wenye nguvu sana na kijana siku zote,ila kukoja ndiko kunako tuzeesha,hasa mwanaume,mwanamke na shahawa damu damu ila zisiwe za watu tofauti tofauti ila kwa mwanaume ukojoaji wa shahawa ni janga kw afya yako
 
Back
Top Bottom