Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

Kufanya tendo la ndoa kila siku kuna madhara kiafya?

Kama unapiga msosi wa kutosha haina shidaa.Nakumbuka kipindi nimeanza kujitegemea ghetto nlivamia ngono wakat msosi ni mikate na chai hadi nikawa napepesuka nikitembea.
 
Waku hamjambo,

Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
Bila shaka umri wako unakuruhusu, endelea kijana hakuna tatizo! Umri ukisogea mambo yatajirekebisha menyewe! Angalizo tu ni kuwa huyo MTU wako awe mkeo!!! Kama sivyo haina afya maana hatia ya moyo huleta kuugua kwa mwili!!!!
 
Waku hamjambo,

Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?

Huyo demu haiingii bleed nn? Kila cku so hampumziki?
 
zaid ya ile ya kutoa shahawa in gaseous state hakuna nyingine,aluta continua Mkuu!!!
 
Aisee kuna ulemavu wa aina nyingi sana hapa duniani.
 
umeoa/kuolewa lkn,sio unazin tu,zinaa ni dhambi nakukumbusha tu
 
Back
Top Bottom