Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 413
- 460
Hiyo ina sababisha expansion joint kwenye sehem zenu za siri trust me
Expansion joint kama ya steam line mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ina sababisha expansion joint kwenye sehem zenu za siri trust me
Ndiyo ujue ni stori za mtaani tuHaha mbona yule mzee alisifika kwa kuwapanga kabla hajaingia mjengo mweupe pale lakini baadae tezi zikampitia [emoji2] [emoji2]
Bila shaka umri wako unakuruhusu, endelea kijana hakuna tatizo! Umri ukisogea mambo yatajirekebisha menyewe! Angalizo tu ni kuwa huyo MTU wako awe mkeo!!! Kama sivyo haina afya maana hatia ya moyo huleta kuugua kwa mwili!!!!Waku hamjambo,
Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?
Hamna shida fanyeni tu
Waku hamjambo,
Mimi napenda sana kufanya tendo la ndoa na mtu wangu yani kila siku haipunguwe mara 2. Usiku kimoja na asubuhi kimoja. Na enjoy sana nayeye pia ameshazowea. Je kiafya sio mbaya?