Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

Unitman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
511
Reaction score
671
Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga.

Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto zilizopo kwa sababu haina maana kufanya uchaguzi haramu na kutumia fedha wakati tozo zipo zinataka kututoa roho alafu tujifunze matumizi mazuri ya fedha.

CCM wateue viongozi wote na kazi iendelee.

Hakuna haja ya kupoteza muda na fedha wakuu.

CC: Lema GODBLESS
 
Back
Top Bottom