Kufanyike nini sasa ili Hayati Magufuli achukiwe na wote? Naona waliokuwa wanamchukia wanabaki kuwa walewale

NI WALE WALE ILA NI wengi sana kuliko Wanaompenda

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Iundwe Wizara Maalum ya Kumnanga magufuli ambayo waziri kazi yake itakua ni moja tu kumnanga Magufuli.
 
Ni mtu mavii tu ndiyo anaweza kumchukia JPM
 
Mnavyomsifu ndivyo hivyohivyo mkubali akinangwa.Tatizo lenu hamtaki wala kupenda akisemwa kwa mabaya yake.Anyway,aungue polepole huko alipo na aangazwe na mwanga mkali hadi umpofue macho.Teh!
Nyumbu mna pambana na marehemu inawasaidia nini kama sio kupoteza muda kijinga.

JPM ukimchukia nikama unachukia ukweli, ukweli hataukiuchukia unabaki kuwa ukwelitu.

Mtapambana na marehem mbaka mnaingia kaburini nakupotea lakini yeye atabaki kuwa mfano wa kiongozi bora katika nchi hii kwa miaka mingi ijayo.
 
Mifisi mnamsifu "maliyemu" utadhani anawapikia ubwabwa. Mkajilaze kando ya shimo lake alimohifadhiwa.
 
Akifa itakaa poa.Lakini ninyi huu ni muda muafaka mkajilaze pembeni ya shimo lake huku mnajiliza kwa kwikwi.Fuateni ushauri hata dhambi mtafutiwa.
Miongoni mwa wanaotajwa kuwa na chuki na Hayati na wewe umo?

Kwani wewe ni shoga, muuza ngada, jizi' au wewe ni cheti feki au ni ndugu wa hao?
 
Ili ikusaidie nini kwa huyo marehemu?
 
Wanashindana na kivuli cha Magufuli lakini bado kinawabwaga chini!! Magufuli alipendwa sana na watanzania walio wengi!! Ila kuna sehemu ndogo ya watanzania hasa mafisadi na jamaa zao, wakwepa kodi, na wale waliotaka kuleta ugaidi huko kibiti na rufiji na familia zao, hao kwa kweli hatuwezi kuwalaumu wakimchukia, aliwashughulikia vilivyo ila ni kwa manufaa ya Tanzania!
 
Sitakaa nisahau ile tr 1.5

Sitakaa nisahau ujenzi wa air port Chato bila kuidhinishwa na bunge (ufisadi) sitakaa nisahau hospital kubwa kuliko kcmc kujengwa porini chato badala hata kujengwa Mwanza jijini.

Sitasahau manunuzi ya ndege bila kuidhinishwa na bunge wala kutangazwa zabuni kama sheria zinavyotaka

Sitasahau watu wanatoa ushauri kuambiwa wanawashwawashwa

Sitasahau maiti za watz wenzetu kuokotwa kwenye sandarusi

Sitasahau watumiaji wa kivuko kigamboni kuambiwa wapige mbizi

Sitasahau watu wa kimara kuvunjiwa nyumba kwamba wamejenga kwenye hifadhi ya barabara lakini wa mwanza ikazuiwa wasivunjiwe ilhali wamejenga eneo la barabara kisa eti ndio waliompigia kura

Sitasahau gharama iliyotumika kununua wapinzani eti wanaunga mkono juhudi

Sitasahau watu kupigwa risasi mchana kweupe kisa ana mawazo tofauti na ya mtawala

Sitasahau wakurugenzi kupewa maagizo eti "nikupe kazi, nikupe gari, nikupe mshahara na nyumba halafu umtangaze mpinzani kashinda huna kazi"

Yapo mengi, kwa leo naishia hapa
 
Wewe hujui nchi hii ukimtukana mwamba unalamba uteuzi? Kalaga baho Mimi sio muda nateuliwa wilaya mpya ya mtovindembwe nakuwa mkurugenzi.
Jerry Muro, sabaya, hapi, na wengineo walipewa ukuu wa wilaya kwa kutukana wapinzani
 
Hakuna wa kumchukia mfu wewe kinachozungumzwa ni matendo yake maovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…