Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga

Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Ni wazi watz tuna vichaa tena sana tuu, Tumewekeza sana ktk ujinga kwa miaka mingi tuu.

Walimu wetu wote wamekuwa ni failures au wasio na taaluma ya ualimu au hata somo husika. Wala hawasomi mambo mapya zaidi ya kuwa busy na maswali ya mitihani.

Tumekuwa taifa linalonunulika kwa sifa za kijinga huku tukiishi ktk ulimwengu wa propaganda.tumefanya vyuo vyetu ku vipaza sauti vya madictator km Gadafi, Chavez and the sort.

Hatujawahi pata kichefu kusikiliza hotuba za kizembe zenye maneno careless km za wana CCM wote na machinery zote za nchi.
Vitabu tunavyosoma vina makosa yote tujuavyo pamoja na kwa wasomi wasio na tija wa UDSM wamevipitia.

Tuna mawaziri duni wa fikra ila wengi wa mamlaka.waziri ktk migogo yote aliyoliambia aunge kuwa kaliza iliishia kuwa na matokeo mabaya, bado hawajibishwi.

Nchi imejaa waandishi wa habari si tu kwamba wapo shallow sana wanachoandika ila pia hawana philososophy na ethics fulani.
Miongozo ya elimu yote imepitwa na wakati na haiwezi accomodate wanafunzi smart na wanasoma. Mbatia aliwafunika wabunge wa viwango wa CCM ambao kila kitu kwao kinashangaza. Ndio maana hata hotuba za hovyo za JK wanasifia hadi JK mwenyewe anashangaa, sasa wao ndio wanampa majibu heti watendaji wake.

Sijawahi penda elimu ya Tz hata siku moja na sijawi elewa malengo ya walimu wa level zote km nisivyoelewa wahadhiri wa0udsm wanavyopenda felisha wanafunzi bila wafundisha.

Its funny tumezama ktk propaganda, ujinga na mkanganyiko uelewa, mila, maadili, tope la ujamaa, siasa za akina Ghadafi na wengine zilizomzamisha Salim A Salim kimataifa hadi nyumbani zinatumeza.

Tuna madaktari na walimuwanaongia ktk vyoo vilivyojaa na wanaongezea kinyesi bila fikra kuamka. Waandishi wasiogopa andika kitu hajui huku akijua watasoma wataalamu au watoto wakaopotoka.

Viongozi wetu kuumezesha kuwa chavez nishujaa kwa lipi? Kukomaa na US huku raia wanaumia? Kama US ni adui, mbona JK alifanya nao biashara? Mbona JK kazama US? Kautoaje ushetani wa US? Watz tuanze kuwa rational na kutumia akili ktk dunia hii. Kila kitu tukipime kwa uhasilia wake.

Mpaka leo akina Membe na JK wanapoteza muda ktk club ya ujinga ya kupandishana adrenaline na karata asijui ya kibeberu, ya kutopangiw amaarafiki, ila mwishowe tunajichanganya sana na hao marafiki zetu. Mbaya hakuna anayekumbuka mambo mengine kuyafanya kunahitaji badili policy ya nchi.

Chavez na Ghadafi ktk club ya wajinga wanaojipa matumaini naye alikuwa akimwaga hela nchi nyingine wakati wananchi wanapewa matumaini kuwa US ndio inawapa shida, na raia anapambana sana kuwalinda watu.

Mengi yapo wazi na predictable ila ujinga tuupendao sasa unazama na sisi.
 
sure! KILA SEKTA YA TANZANIA IMEJAA WASIOLIMIKA,TUKIANGALIA MFANO, binafsi nahofu tanzania ikipigana vita itashindwa VIBAYA naona haina wataalam, yaani hata wale waliotumwa kumuua kiongozi wa madaktari wa mgomo, hawakujua kama amekufa ama la!! yaani wakamwacha wamemjeruhi mpaka akapatikana Hai akawaumbua kwasababu hawajaelimika katika kazi za kijasusi, wangekuwa ni wasomi wangehakikisha anakufa kabisa lakini wana akili finyu wakamwacha hai.
 
Watanzania msijidanganye wewe ni Mtanzania au si Mtanzania?
 
Walimu wetu wote wamekuwa ni failures au wasio na taaluma ya ualimu au hata somo husika.wala hawasomi mambo mapya zaidi ya kuwa busy na maswali ya mitihani.

Tumekuwa taifa linalonunulika kwa sifa za kijinga huku tukiishi ktk ulimwengu wa propaganda.tumefanya vyuo vyetu ku vipaza sauti vya madictator...

Vitabu tunavyosoma vina makosa yote tujuavyo pamoja na kwa wasomi wasio na tija wa udsm wamevipitia.

Tuna mawaziri duni wa fikra ila wengi wa mamlaka.waziri ktk migogo yote aliyoliambia aunge kuwa kaliza iliishia kuwa na matokeo mabaya...

hizi undelined nimezipenda zaidi
 
Watanzania msijidanganye wewe ni Mtanzania au si Mtanzania?
Mkuu wala usidhani nimejitoa.bado ni mtz ,najilaumu kwa kuweka heshima sana mbele nikaacha ushenzi endele pale nilipouona.tangu nikiwa small kid kuna vitu havikuwahi niingia kichwani.ila wakubwa wote walionizunguka walipinga maswali yangu kwa ku black mail kuwa sina adabu na ni mkorofi ili kuhalalisha ujinga na njaa zao a.watoto wenzangu always walidai kuelewa ili kuwafurahisha walimu . Km niwasikiavyo mnavyobaka akili zenu kwa kusema jk anafanyiwa hila na watenda huku mkisesema yeye ndio mwenye nguvu zote,ndio ajuaye kila kitu.yeye ndie mtoa neema na maendeleo.ila hamruhusu akili kukubali kuwa anastahili blames, tena zote.
 
unaonaje ukisepa.natumia mobile device buttons ndogo.sioni nini kina distract ubongo wako.naona umeamua kuwa hai wa uwekezaji ktk ujinga wa watz.bado akili yako haijataka kuona kosa na kuona jibu halafu kuchangia.kacheze bao na wenzio basi mkabishane nani kaleta uhuru wanchi huku mkiambiana kila mmoja wenu hajui(Yaani version ya kila mtu ni sahihi).

Wakati wengine wanafikiri ni vipi watakwenda dunia nyingine, nyie mnapoteza muda kwa minor things. Wewe typing inakusaidia nini hapa, kwnai naandika reference book?Hujaona watu wanaandika vitu kam 4ne, g9t, uck mwema etc.mbona huwa unatumia akili kuelewa na kufanya?

Usipoteze resources kwa upuuzi , you never get any glory out of this.
 
Umeongea point kabisa japo wengi watalalamika lakini ukweli umeuanika.

:yo:
 
unaonaje ukisepa.natumia mobile device buttons ndogo.sioni nini kina distract ubongo wako.naona umeamua kuwa hai wa uwekezaji ktk ujinga wa watz.bado akili yako haijataka kuona kosa na kuona jibu halafu kuchangia.kacheze bao na wenzio basi mkabishane nana kaleta uhuru wanchi huku mkiambiana0hamjui.

Kama wewe ni Mtanzania kama unavyosema, wa kukubali kwamba amekosa awali ya yote ni wewe uliyejitoa katika kundi la Watanzania na kusema "Watanzania msijidanganye".

Aina moja ya kuwekeza katika ujinga ni kulazimisha kibatari kisichoweza kuandika kiweke post za ajabu JF.

Kutumia simu si udhuru wa kutuandikia Kifoeniki hapa.
 
Kama wewe ni Mtanzania kama unavyosema, wa kukubali kwamba amekosa awali ya yote ni wewe uliyejitoa katika kundi la Watanzania na kusema "Watanzania msijidanganye".

Aina moja ya kuwekeza katika ujinga ni kulazimisha kibatari kisichoweza kuandika kiweke post za ajabu JF.

Kutumia simu si udhuru wa kutuandikia Kifoeniki hapa.
Hahahaha mkuu umenichekesha kwa sauti. LOL
 
Kinachonifurahisha mimi ni jinsi hapa kwetu Tanzania kila mtu ana mtu anamlalamikia! Utakuta huyu anailalamikia serikali na mwingine anawalaumu watoto waliofanya vibaya kwenye mitihani yao.Wengine wanalalamika mtihani ulikuwa mgumu sana na wangine wanalalamkia walimu hawana uwezo wa kufundisha.Yaani ni lawama,lawama,lawama... mpaka basi!

Mimi nadhani kila mtu ana mapungufu kwa nafasi yake;na ili ujue mapungufu yako,unatakiwa kujiuliza je, wewe kwa nafasi yako umefanya nini ili kurekebisha hali hii.Je,wote tukae pembeni na kulalamika?Tunasubiri nani aje kututatulia matatizo yetu sisi wenyewe?Lakini pia ni kwa kiasi gani wewe uko sahihi kwa kila jambo ulifanyalo kila siku?Anguko la elimu sio kwa kidato cha nne tu kama ambavyo tunafikiria.Kila sehemu siku hizi hali ni mbaya;kuanzia shule za msingi,mtaani hadi chuo kikuu! Hakuna haja ya kutoboana macho kwa matokeo haya,cha msingi ni kukaa kama taifa kuangalia wapi tulipojikwaa,wapi tulipoangukia ili tupate mbinu za kuinuka na kusonga mbele.FULL STOP.
 
Kama wewe ni Mtanzania kama unavyosema, wa kukubali kwamba amekosa awali ya yote ni wewe uliyejitoa katika kundi la Watanzania na kusema "Watanzania msijidanganye".

Aina moja ya kuwekeza katika ujinga ni kulazimisha kibatari kisichoweza kuandika kiweke post za ajabu JF.

Kutumia simu si udhuru wa kutuandikia Kifoeniki hapa.

Mkuu wangu,hili ni janga la kitaifa!
Tunawalaumu hawa watoto lakini hata sisi wakubwa tuna hali mbaya.Ukiwachukua wahitimu kumi wa chuo kikuu halafu ukawambia wakuandikie insha(kwa kiswahili) ya maneno mia moja tu kwa kufuata taratibu zote za kiuandishi;nakuambia kama hutasikitika naamini utakaa chini ulieee.. mpaka basi!
 
Nakushukuru sana Mtanzania mwenzangu kwa kuliona hili, japokuwa ulitaka kujitoa hivi.
 
Kama wewe ni Mtanzania kama unavyosema, wa kukubali kwamba amekosa awali ya yote ni wewe uliyejitoa katika kundi la Watanzania na kusema "Watanzania msijidanganye".

Aina moja ya kuwekeza katika ujinga ni kulazimisha kibatari kisichoweza kuandika kiweke post za ajabu JF.

Kutumia simu si udhuru wa kutuandikia Kifoeniki hapa.
kiranga naona umeamua kuwa serious ktk ujinga.

Kujifanya unataka prove something ktk minor things ni kuzidi kuonyesha backlog ya ujinga tuliyo nayo.Unasahau kuwa mpaka tuweze maliza maliza huu uozo ambao na wewe umeuhalalaisha tayari watoto wengine watakuwa wamezaliwa na kukusikia.Sioni tofuati yako na ya akina Kibonde, michuzi, and the sort na audience wanayoipata at the detriment of our nation.muda sis mrefu watakuwa roe models wa watoto wetu.

Taifa kupoteza maadili, na kutojiamini ktk taaluma kunachangiwa na mamabo mengi sana, na mojawapo ni watu kama nyie na Ritz.Soon mtakuwa na wafuasi wakiwaita great intellectuals.

wenye macho wanaoana wenyewe.

Hembu wajibika basi otherwise achia thread iendelee.Unakomalia ujinga ili Jk akupende?mi ni Radical ndugu yangu you cant silence me by threats au mizaha.
 
Nakushukuru sana Mtanzania mwenzangu kwa kuliona hili, japokuwa ulitaka kujitoa hivi.

Karibu.Ndugu yangu siwezi jitoa ndugu yangu.Im very honest person, ila kichwa ngumu kiasi fulani.Nasikitika sana nionavyo vitabia fulani vinavyoweza nisaidia preddict hasara ya muda fulani yet watu tunawaopa nafasi na wao kujiona wanajua sana hawaoni, na wengine kutojali.

Mbaya watu hawajui tukimaliza misingi yote aliyojenga Baba wa taifa tuaweza tusipate nafsi tena ya kurekebisha,kwani utandawazi unachange Dynamics za mindsets za watu kila seconds.

Nikiangalia CCM na mizaha yao ktk vitu hatari na irreversible napata hasira sana.Natamani chukua AK.Yet wao wanachekelea na kuendelea kung`ang`ania.Sasa wanataka tuziba macho na masikio ili watembee uchi na si kuvaa nguo.
 
well,wakati nashangaa ban imetolewa lini,bado si mbaya nikapost kitu,hope invinsible hatokuwa na allerge tena,
Well,nikirudi ktk issue ya elimu,niwazi watz tuna vichaa rtena sana tuu,Tumewekeza sana ktk ujinga kwa miaka imingi tuu.
Walimu wetu wote wamekuwa ni failures au wasio na taaluma ya ualimu au hata somo husika.wala hawasomi mambo mapya zaidi ya kuwa busy na maswali ya mitihani.
Tumekuwa taifa linalonunulika kwa sifa za kijinga huku tukiishi ktk ulimwengu wa propaganda.tumefanya vyuo vyetu ku vipaza sauti vya madictator km gadafi ,chavez and the sort,
hatujawahi pata kichefu kusikiliza hotuba za kizembe zenye maneno careless km za wana ccm wote na machinery zote za nchi.
Vitabu tunavyosoma vina makosa yote tujuavyo pamoja na kwa wasomi wasio na tija wa udsm wamevipitia.
Tuna mawaziri duni wa fikra ila wengi wa mamlaka.waziri ktk migogo yote aliyoliambia aunge kuwa kaliza iliishia kuwa na matokeo mabaya.bado hawajibishwi.
Nchi imejaa waandishi wa habari si tu kwamba wapo shallow sana wanachoandika ila pia hawana philososophy na ethics fulani.
Miongozo ya elimu yote imepitwa na wakati na haiwezi accomodate wanafunzi smart na wanasoma,mbatia aliwafunika wabunge wa viwango wa ccm ambao kila kitu kwao kinashangaza.ndio maana hata hotuba za hovyo za jk wanasifia hadi jk mwenyewe anashangaa,sasa wao ndio wanampa majibu heti watendaji wake.
Sijawahi penda elimu ya tz hata siku moja na sijawi elewa malengo ya walimu wa level zote km nisivyoelewa wahadhiri wa0udsm wanavyopenda felisha wanafunzi bila wafundisha.
Its funny tumezama ktk prnpaganda .ujinga na mkanganyiko uelewa,mila,maadili,tope la ujamaa ,siasa za akina ghadafi na wengine zilizomzamisha salim a salim kimataifa hadi nyumbani znatumeza.
Tuna madaktari na walimuwanaongia ktk vyoo vilivyojaa na wanaongezea kinyesi bila fikra kuamka.waandishi wasiogopa andika kitu hajui huku akijua watasoma wataalamu au watoto wakaopotoka

Viongozi wetu kuumezesha kuwa chavez nishujaa kwa lipi?kukomaa na us huku raia wanaumia?km us ni adui mbo alifanya nao biashara?mbona kazama us?kautoaje ushetani wa us?watz tuanze kuwa rational na kutumia akili ktk dunia hii.kila kitu tukipime kwa uhasilia wake.
Mengi xapo wazi na predictable ila ujinga tuupendao sasa unazama na0sisi.

Hata wewe bado unalalamika tu kama akina Bw. Pinda! Hayo tumeshayasikia sana, tunataka, nini cha kufanya!
 
Kinachonifurahisha mimi ni jinsi hapa kwetu Tanzania kila mtu ana mtu anamlalamikia! Utakuta huyu anailalamikia serikali na mwingine anawalaumu watoto waliofanya vibaya kwenye mitihani yao.Wengine wanalalamika mtihani ulikuwa mgumu sana na wangine wanalalamkia walimu hawana uwezo wa kufundisha.Yaani ni lawama,lawama,lawama... mpaka basi!

Mimi nadhani kila mtu ana mapungufu kwa nafasi yake;na ili ujue mapungufu yako,unatakiwa kujiuliza je, wewe kwa nafasi yako umefanya nini ili kurekebisha hali hii.Je,wote tukae pembeni na kulalamika?Tunasubiri nani aje kututatulia matatizo yetu sisi wenyewe?Lakini pia ni kwa kiasi gani wewe uko sahihi kwa kila jambo ulifanyalo kila siku?Anguko la elimu sio kwa kidato cha nne tu kama ambavyo tunafikiria.Kila sehemu siku hizi hali ni mbaya;kuanzia shule za msingi,mtaani hadi chuo kikuu! Hakuna haja ya kutoboana macho kwa matokeo haya,cha msingi ni kukaa kama taifa kuangalia wapi tulipojikwaa,wapi tulipoangukia ili tupate mbinu za kuinuka na kusonga mbele.FULL STOP.
mkuu hii si kulalamika,ni kupanua fikra ili watu waone mizizi ya ujinga na kukimbilia sijui maslahi ya walimu, sijui nini na nini,. Mkuu kila kitu kimekaa vibaya.Sasa ni vipi ujinga uliojaa kila mahali ukatumika kuondoa ujinga mwingine?

Hembu waulize wale walimu wa UDSM wanaojisifu kuwa wamedaka watu, nini wanategemea kua achieve?nimewahi lalamika sana humu kwa vigezo hivi:
-Kufelisha mtu wakati hujamsfundisha ni unyama.
-Kufelisha mtu ni kusahau malengo makuu ya kuongeza wasomi wa nchi hiii.
-Kufelisha mtu ni kulipa taifa hasara kwa fedha zilizopotea kumfikisha mtu alipofika.
-Kueflisha mtu ni kupoteza nafsai ambayo huyu mtu aliwanyima wenzake kwa kuchaguliwa.
-Kufelisha mtu ni kukosa uzalendo na kuwa burden kw ataifa letu(Yaani kupe).

Sasa hembu fikiria maeneo mengine watu wanayofanya mamabo binafsi yanayoathisi taifa kwa staili ya hapo juu, hasa katk uzalishaji.Achilia mbali nafasi tunayocheze apakiw ahakuna ushindani,wakati ushidnani ukija kuwa mkubwa tutakuwa hatujapata nguvu bado.

Hembu jiulize dawa zinazouzwa tz ktk form ya syrup.Hasa za kikohosi, antibiotics za watoto.Mifuniko wanayotumi aya bati, ukiifungua tuu huwezi ifunga huku dawa yenyewe ukihitajika itumia zaidi ya siku moja.Huwezi safiri nayo ikiw ainavuja, na pia dawa yenyewe inahitaji kufunikwa ili isiharibike kwa ku react na hewa.Wabongo bado hawaoni uduni wao, wapo majukwaani kujisifu kuwa wana ubora.

Nimepita hosptial za serikali nimekuta vyoo watumiavyo madakatari vimeziba na bado mtu anatumia tuu.Hakuna anayeona kuwa linashitaki taaluma yao.Pia kuzibua haizidi shilling elfu 5 amabyo haiwezi kosekana ktk hispital yoyote kwa siku hizi.Hembu replicate haya madudu ktk maeneo yote ya jamii halafu upime uelewwa wa magamba.
 
Hata wewe bado unalalamika tu kama akina Bw. Pinda! Hayo tumeshayasikia sana, tunataka, nini cha kufanya!

mimi silalamiki ndugu yangu.Hembu rudia nilichoandika.Nina highlight maeneo tuliyoaharibu km step ya kwanza kurekebisha, otherwise tutajikuta tunadhani tunamwabudu Mungu kumbe shetani kwa vile hatujui watofautisha.

Kila kitu ni mipango, baada ya kua jua tatizo lipo wapi ,ndipo mipango ya kulitatua inafanyika, na baadaye kufanyika na kuliondoa tatizo.Sasa Pinda atasolve nini wakati huingia kichwa kichwa na kwa jazba halafu akiondoka najidanganya kuwa kamalaiza tataizo just because kaonge ana watu na kuwanyima wasizungumze nao wakaka kimya basi katafsiri kuwa kamaliza.Halafu anarudi wadanganta wadanganyika kuw akila kitu kipo shwari.



Hiyo ndio mizizi ya ujinga tuliyoiweka ktk jamii yetu, na hata siku moja usitegemee mtu mwenye akili timamuanaweza jitokeza solve halafu akaamini kuwa taweza ktk mindesets za namna haii ktk nchi.

Kutoa ujinga ktk hii nchi ni project ya miaka 30 itakayofanyika intensively.Mbaya sasa hivi hakuna tena tool ya propaganda ya kuweza tuunganisha km ilivyokuw aukombozi wa africa etc.Sasa hivi mengi kama hayo yakifanyika kuna changanmoto za haki za binadamu na watu kuwa vipaumbele vingine.Mbaya zaidi JK na magamba wenzie wameweka mbegu nyingi sana za kuja kuondoa kabisa mazingiza ya umoja, uzalendo, staha, kiu ya elimu na mengine yanayoweza jenga foundation ya jamii.

NImekuwa pia nikipiga kelele sana kuwa tumejidanganya sana kw amakosa ya ku changanya siasa za mashariki ya kati ambzo ni struggle for another civilizations, na pana africanisms, sasa tunamezeshwa elimu zinazoondoaka kujihamini kwetu ktk historical facts, hatuangalii vitu vingi kutoka ktk angle tofauti.Hatujui wapi tuna common goal na wapi tuna give in too much at our own detriments.Tanzania sasa hivi inatangaza wazi ushujaa wa akina Mkwawa, Milambo, wayao, Kinjekitile, Abushiri etc. Tukiwaita mashujaa wetu, hakuna msomi Mtz mwenye akili timamu aliyewahi hoji huo ushujaa wa watu waliouza ndugu zetu kiasi kile. Huu unafiki ndio unatutafuna sasa hivi.Makanisa yanaungua kauli za watuhumiwa ,serikali, waandishi wa habari etc zipo jumla jumla na za kipuuzi, wakidhani kuwa watasalimika wakila kotekote.
 
Haya bana wamekuelewa walimu "WOTE WAMEFELI"
 
kiranga naona umeamua kuwa serious ktk ujinga.

Hapana, ni wewe umekuwa mjinga katika mambo serious. Unakandya mmomonyoko wa elimu na maadili kwa post iliyomomonyoka mpaka spelling! Do you really mean what you write? When you come come correct or not at all.

Kujifanya unataka prove something ktk minor things

That's where you are wrong. Nini ni "minor things"? Presentation ni "minor things"? Presentation is not minor at all, some would give presentation the same importance as content. What you write is as important as how you write it. Kuna watu watakuangalia unavyochapia tu spelling watasema "huyu hajui anachoandika". Utashindwa mawasiliano.

Sasa wewe nawe unalaumu wa divison four na zero?

ni kuzidi kuonyesha backlog ya ujinga tuliyo nayo.

Backlog ya ujinga tuliyo nayo unaionyesha wewe, unayekuja hapa kukandya ujinga kwa kutumia ujinga. Yani hata vinara wa kupiga vita ujinga wanatumia ujinga kupiga vita ujinga.Hilarious. I couldn't even read some of your earlier posts.

Unasahau kuwa mpaka tuweze maliza maliza huu uozo ambao na wewe umeuhalalaisha

Wapi nimehalalisha uozo? Nionyeshe hapa, ama nitake radhi.

Comprehension please. Halafu wewe ndiye unalaumu mfumo wa elimu, wakati mwenyewe hujiwezi.

Huwezi kutofautisha mtu asiyetaka ujinga so much, kiasi kwamba hata anaposikia ujinga unapigwa vita kwa kutumia ujinga atasema, na mtu anayetetea ujinga. Do you know the vast difference between the two?

tayari watoto wengine watakuwa wamezaliwa na kukusikia.

Watoto wengine wakiwa "wamezaliwa na kunisikia" watajifunza kwamba hutakiwi kupost bila kuhakikisha spelling zako ziko correct. It is inconsiderate, it is selfish, it is wrong, it is ignorant.


Sioni tofuati yako na ya akina Kibonde, michuzi, and the sort na audience wanayoipata at the detriment of our nation.muda sis mrefu watakuwa roe models wa watoto wetu.

Kati yangu mie ninaesisitiza uandishi makini na wewe unayekwenda harijojo kuliko yoyo lililovunjika nani anafanana na vilaza hao?

Taifa kupoteza maadili,

Wewe ni mtu wa kuongea maadili ya taifa wewe? Maadili ya kuandika kwa correct spelling tu yamekushinda, unatatiza wasomaji, halafu unataka kurukia maadili ya taifa? Hilarious.

na kutojiamini ktk taaluma kunachangiwa na mamabo mengi sana, na mojawapo ni watu kama nyie na Ritz.Soon mtakuwa na wafuasi wakiwaita great intellectuals.

Haya pata wewe wafuasi walio intellectuals basi, waandike kwa hati kama yako. Huwezi kuchukuliwa seriously na hao "wafuasi" watakaokuwa intellectuals hapa kama kuandika sentensi iliyonyooka tu kunakuwia shida.

wenye macho wanaoana wenyewe.

Lakini wengine hawa spellcheck posts zao, licha ya kuwa na macho.


Hembu ndiyo mdudu gani? Ndiyo lugha ya u intellectual hii unayoisema? Kiingereza tutasema lugha ya mkoloni, Kiswahili je?


Wajibika? Unaweza kuniambia niwajibike mimi wewe? Ungejua kuwajibika ungeanza mwenyewe kuwajibika kusahihisha spelling mistakes (Im talking on a massive scale here) kabla ya kukimbilia kwangu.

basi otherwise achia thread iendelee.

Niachie thread iendelee kwani nimeizua wapi? Mie Mod hapa? Comprehension please!

Unakomalia ujinga

Hapana, wewe unayeleta uharo wa maandishi hapa ndiye mwenye kukomalia ujinga.

ili Jk akupende?

JK hanijui simjui, sina association na watu kama yeye, itabidi afanye kazi ya ziada kuingia kwenye circle yangu. Nishaalikwa na wapambe wake kwenda kumsalimia in a family setting nikatoa nje, sasa sioni kwa nini nijipendekeze hapa JF ambapo tunatumia majina anonymous.

mi ni Radical

You do not know the meaning of Radical.Kuwa radical ni lazima u communicate kitu radical, wewe huna kipya halafu unakiandika kwa style ya uharo, radical my foot.

ndugu yangu you cant silence me by threats au mizaha.

Siina nia ya kuku silence wewe, nipate faida gani.

Mimi nataka kumaliza huu upuuzi wa kutumia ujinga kujifanya unapiga vita ujinga.

Learn to write a straight sentence first, then you can say what you want to say.

Wewe hujajua kuandika unataka kujiita radical, radical wa nini, uharo?
 
Haya bana wamekuelewa walimu "WOTE WAMEFELI"
haha tusilifanye hadi liwe issue au lichukuliwe kama tusi na walimu.Nina walimu wengi sana kwetu na sometimes hat a mimi ni mwalimu,ila imetokea kwa ninayoyafanya.

Kiuhalisia kupata mwalimu aliyepata best marks labda Universities na ni mwingi wa theories na.Wengi hawakuwa na option bora zaidi.

Yaani kupata walimu waliokwenda kwa mapenzi yao na wenye weledi wa kutosha ni wachache na kutafuta kwa darubini.wengi walio bora unakuta ni uzoefu tuu na kuzoea wanayofundisha.(majibu na notice)
 
Back
Top Bottom