Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Ni wazi watz tuna vichaa tena sana tuu, Tumewekeza sana ktk ujinga kwa miaka mingi tuu.
Walimu wetu wote wamekuwa ni failures au wasio na taaluma ya ualimu au hata somo husika. Wala hawasomi mambo mapya zaidi ya kuwa busy na maswali ya mitihani.
Tumekuwa taifa linalonunulika kwa sifa za kijinga huku tukiishi ktk ulimwengu wa propaganda.tumefanya vyuo vyetu ku vipaza sauti vya madictator km Gadafi, Chavez and the sort.
Hatujawahi pata kichefu kusikiliza hotuba za kizembe zenye maneno careless km za wana CCM wote na machinery zote za nchi.
Vitabu tunavyosoma vina makosa yote tujuavyo pamoja na kwa wasomi wasio na tija wa UDSM wamevipitia.
Tuna mawaziri duni wa fikra ila wengi wa mamlaka.waziri ktk migogo yote aliyoliambia aunge kuwa kaliza iliishia kuwa na matokeo mabaya, bado hawajibishwi.
Nchi imejaa waandishi wa habari si tu kwamba wapo shallow sana wanachoandika ila pia hawana philososophy na ethics fulani.
Miongozo ya elimu yote imepitwa na wakati na haiwezi accomodate wanafunzi smart na wanasoma. Mbatia aliwafunika wabunge wa viwango wa CCM ambao kila kitu kwao kinashangaza. Ndio maana hata hotuba za hovyo za JK wanasifia hadi JK mwenyewe anashangaa, sasa wao ndio wanampa majibu heti watendaji wake.
Sijawahi penda elimu ya Tz hata siku moja na sijawi elewa malengo ya walimu wa level zote km nisivyoelewa wahadhiri wa0udsm wanavyopenda felisha wanafunzi bila wafundisha.
Its funny tumezama ktk propaganda, ujinga na mkanganyiko uelewa, mila, maadili, tope la ujamaa, siasa za akina Ghadafi na wengine zilizomzamisha Salim A Salim kimataifa hadi nyumbani zinatumeza.
Tuna madaktari na walimuwanaongia ktk vyoo vilivyojaa na wanaongezea kinyesi bila fikra kuamka. Waandishi wasiogopa andika kitu hajui huku akijua watasoma wataalamu au watoto wakaopotoka.
Viongozi wetu kuumezesha kuwa chavez nishujaa kwa lipi? Kukomaa na US huku raia wanaumia? Kama US ni adui, mbona JK alifanya nao biashara? Mbona JK kazama US? Kautoaje ushetani wa US? Watz tuanze kuwa rational na kutumia akili ktk dunia hii. Kila kitu tukipime kwa uhasilia wake.
Mpaka leo akina Membe na JK wanapoteza muda ktk club ya ujinga ya kupandishana adrenaline na karata asijui ya kibeberu, ya kutopangiw amaarafiki, ila mwishowe tunajichanganya sana na hao marafiki zetu. Mbaya hakuna anayekumbuka mambo mengine kuyafanya kunahitaji badili policy ya nchi.
Chavez na Ghadafi ktk club ya wajinga wanaojipa matumaini naye alikuwa akimwaga hela nchi nyingine wakati wananchi wanapewa matumaini kuwa US ndio inawapa shida, na raia anapambana sana kuwalinda watu.
Mengi yapo wazi na predictable ila ujinga tuupendao sasa unazama na sisi.