Na watu kama wewe mnaotaka majibu mepesi mepesi ndiyo sehemu ya ujanja?
Nimedilute nchi kivipi? Kama mimi ni mjinga, sina malengo, mpotoshaji etc basi wewe ni zaidi yangu.
Ni mjinga zaidi kwa sababu umeshindwa kuonyesha ujinga wa mjinga, umebaki kusema kijumla tu.
Ni mpotoshaji kwa sababu umenifanya mimi mjinga kuonekana mjanja bila sababu.
Huna malengo yanayoeleweka kwa sababu mpaka sasa hueleweki.
Shida haiishi hadi siku ya mwisho kaimba Mbaraka.
Na dhambi ni kumsema mwingine ana dhambi.
wewe mpuuzi kweli, nani kakwambia vitu obvious vinathibishwa..upo uchi mahakamani saa mahakama itahitaji ushahidi gani zaidi ya kusikiliza maelezo ya huo uchi.
Maelezo ya huo uchi tena?
Uchi unatoa maelezo? Salaaale.
Vitu obvious vinathibitishwa, vingekuwa havithibitishwi visingekuwa obvious.
Sasa kama wewe kiranga ndio kichwa ktk hiyo jamii yenu ,si ni hatari kwa taifa.
Si ndio unavyojiita...otherwise unakubalia nilichokuwa nakuambia.Kuwa wewe mchangiaji wa kufeli wanafunzi kwa jinisi ulivyo mtupu ila huchoki shida potosha wengine wengi waliopotoka kwa kiasi chao tayariNani kasema Kiranga ni kichwa?
Kiranga akiwa kichwa miguu itaanza kuotea kichwani kwenda juu!
Si ndio unavyojiita...otherwise unakubalia nilichokuwa nakuambia.Kuwa wewe mchangiaji wa kufeli wanafunzi kwa jinisi ulivyo mtupu ila huchoki shida potosha wengine wengi waliopotoka kwa kiasi chao tayari
Kwani huwa unafight nini ktk hii thread?
Fight? labda unavyolielewa hilo neno na mimi ninavyolielewa ni tofauti.
Like Michael, I am a lover, not a fighter.
Though to you my tough love would be indistinguishable from a fight.
Fight? labda unavyolielewa hilo neno na mimi ninavyolielewa ni tofauti.
Like Michael, I am a lover, not a fighter.
Though to you my tough love would be indistinguishable from a fight.
Hata ujijui unachosema wala utakalo achieve.Thread inasema haya:
"Kufeli kwa Kidato cha Nne: Watanzania msijidanganye hamhusiki ktk uwekezaji wa ujinga
"
Sijui ulikuwa unabishana kufikia lengo gani humu?Na unachojibu hapa nini?Fight si lazima iwe vita ila jitihada za nguvu kufikikia kitu kigumu kwako.
Nilikuwa nabishana wapi? Be specific please, kuna mengi yameandikwa.
Labda na wewe nawe unahusika katika uwekezaji wa ujinga kwa kutokuwa specific.
Bado hujaona.kwanini nini ulikuwa unachangia hapa?na ulikuwa ukitetea nini?HUkumbuki?
Sijaona nini?
Bado hujanipa link ya kuthibitisha unachosema nimeandika ndicho hicho nilichoandika.
Na ukishindwa kubali kuitwa mzushi na mimi mpaka hapo utakapoweza au kuomba msamaha.
Nimekuwekea thread uisome ilikuwa inasema nini ,na wewe ulikuwa ukibishia nini?Na hii ndio itapelekea kujua kuwa ulihcokuwa ukibisha kilikuwa against thread ilichokusudia.Kuwa ujinga tuliuwekeza ndio umepelekea hadi waafuzi kufeli.
Au ulikuwa hujui unabisha nini?MIjitu mibishi huwa inapenda ingilia kitu ikidhani kuwa itashinda ktk chochote hata isichokijua.
Thread nzima nimeandika mimi tu? There you go again with your vague vacuity.
Weka specific posts, explain.
Specificity is king.
Generalities are the hiding places of the lazy and confused.
mbona hujajibu ulikuwa uanbishana nini humu muda wote?ulikwa ukitegemea kutetea nini?Na ni wapi ungefika ukadhani kiu yako imekwisha.
Tusiruke ruke tuu hapa.majibu yako nitakupa ila sema ni wapi uliwashwa ukaanza attacks ?matusi zi lazima useme maneno yaliyozoeleka,ila hata mengine yanaweza kuwa matusi.sasa kuweka terminologies tuu hakukufanyi ukawa na akili.
Watanzania msijidanganye wewe ni Mtanzania au si Mtanzania?
Be specific. I cover much ground.
Right off the bat I blasted your condescending approach kwa kukwambia.
Kama una vitu specific unataka kuhoji quote specific posts.