Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
- Thread starter
- #61
Na watu kama wewe mnaotaka majibu mepesi mepesi ndiyo sehemu ya ujanja?
Nimedilute nchi kivipi? Kama mimi ni mjinga, sina malengo, mpotoshaji etc basi wewe ni zaidi yangu.
Ni mjinga zaidi kwa sababu umeshindwa kuonyesha ujinga wa mjinga, umebaki kusema kijumla tu.
Ni mpotoshaji kwa sababu umenifanya mimi mjinga kuonekana mjanja bila sababu.
Huna malengo yanayoeleweka kwa sababu mpaka sasa hueleweki.
Shida haiishi hadi siku ya mwisho kaimba Mbaraka.
Na dhambi ni kumsema mwingine ana dhambi.
wewe mpuuzi kweli, nani kakwambia vitu obvious vinathibishwa..upo uchi mahakamani saa mahakama itahitaji ushahidi gani zaidi ya kusikiliza maelezo ya huo uchi.