[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kila laheri kwenye mitihani yako ya kidato cha nne pambana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kila laheri kwenye mitihani yako ya kidato cha nne pambana.
Sasa unaomba ajira UN, wanakuambia tuletee cheti original cha form 4,chuo huna!Nikiwa katika matembezi mara nikasikia mlio wa honi ya gari kugeuka nakutana na jamaa niliyesoma naye darasa moja, [Class mate] Aliposhusha kioo cha gari na kunisabahi, Nikabaki nashangaa, Jamaa kwa muonekano wa haraka haraka yupo vizuri kiuchumi, Mavazi ya gharama na Micheni ya dhahabu.
Nikakumbuka huyu jamaa darasani alikuwa mmoja wa vilaza, yaani kupata zero ilikuwa kawaida sana.
Je, wewe umewahi kukutana na hali kama hiyo?
Kweli kufaulu mitihani siyo kufaulu maisha, na kufeli mitihani siyo kufeli maisha.
Kwa kifupi maisha hayana formula, Anything is possible by the way.