Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni muongo kama upo Dar utalithibitisha hili
Nimeandika Uzi huu muda muafaka ukiwa maeneo kama Mbagala au Chanika mwisho toa mrejesho mpaka saa tatu au nne watoto wapo kwenye vituo vya mabasi wakingoja usafiri
Ninashauri shule kubwa zenye wanafunzi buku ziwe spited mamlaka zizingatie hili suala kwa kuwa udhibiti wa nidhamu unakuwa changamoto sana