Kufeli ni matokeo ya malezi ya ovyo

Kufeli ni matokeo ya malezi ya ovyo

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni muongo kama upo Dar utalithibitisha hili

Nimeandika Uzi huu muda muafaka ukiwa maeneo kama Mbagala au Chanika mwisho toa mrejesho mpaka saa tatu au nne watoto wapo kwenye vituo vya mabasi wakingoja usafiri

Ninashauri shule kubwa zenye wanafunzi buku ziwe spited mamlaka zizingatie hili suala kwa kuwa udhibiti wa nidhamu unakuwa changamoto sana
 
Huko uswazi watoto wanazagaa nje mpaka saa nne usiku wanacheza tu. Tena hapo unakuta washatoka kuangalia tamthilia zao zile kwenye TV,njee huko wanakutana na singeli na mziki wa bongo fleva wanakataaa mauno. Unafikiri atasoma saaa ngapi. Haya ndiyo maisha halisi ya mtoto

Ova
 
Dalili za wanafunzi wenye malezi mabovu zinaonekana hata nje ya shule, utaona mtindo wa ubebaji wa madaftari
 
Back
Top Bottom