mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hivi viza nayo unalipia?.
Nakujibu kwa experience ya miaka yangu zaidi ya saba kuwa Guangzhou.Hiyo hela ina tosha lakini italingana na unanunua simu aina gani na umejitangaza vipi bongo.Kuna watu wanaagiza simu hadi 100 zikifika tu bongo kesho yake anaweka mpunga wa order nyingine.Kwa hiyo ina depend na market yako lakini kwa 5m tsh kama ni yakuagiza tu mzigo inaweza ikatosha kulingana na target yako