Kufika China kwa mara ya kwanza kama mfanyabiashara

Hivi viza nayo unalipia?.
Nakujibu kwa experience ya miaka yangu zaidi ya saba kuwa Guangzhou.Hiyo hela ina tosha lakini italingana na unanunua simu aina gani na umejitangaza vipi bongo.Kuna watu wanaagiza simu hadi 100 zikifika tu bongo kesho yake anaweka mpunga wa order nyingine.Kwa hiyo ina depend na market yako lakini kwa 5m tsh kama ni yakuagiza tu mzigo inaweza ikatosha kulingana na target yako
 
Usinichoke.
Nauli ya kwenda China na kurudi na kujumlisha hela ya viza jumla ni kiasi gani
haina tatizo mkuu tunasaidina kwa kile mtu anachokielewa
Kuhusu visa sikumbuki vizuri maana visa yangu nilipata 2013/2014 hapo hata sikumbuki nililipa bei gani ila nadhani ilikuwa ni around 150tsh.Toka hapo huku napata tu residence permit nayolipa 800RMB a year.
kuhusu nauli ina depend na season pia na tofauti ya lini umekata ticket na lini una safiri.Ukikata ticket mapema bei huwa nafuu kuliko ukikata ticke siku chache kabla ya kusafiri.Ticket andaa kati ya 600$-1200$ kwa round trip btn Dar na GZ
 
Mkuu tusichokane wangine tunaotaka kujua vip gharama Cha chakula namalazi kwa siku nikiasi gani
 
Chakula na malazi inafatana na life style yako na season umekuja.Upande wa life style ni kuwa nia aina gani ya chakula unakipenda .Unaweza kula wali na nyama restaurant ya mchina kwa 20 RMB lakini ukienda restaurant ya wabongo hapa ni 50 RMB.
Kuhusu season umekuja ni kunakuwa na maonyesho kwa huku Guangzhou yanaitwa canton fair.Ukicha kipindi cha hii kitu bei za hotel utatamani maji kuita mmma 😛 😛
 
Chakula na malazi inafatana na life style yako na season umekuja.Upande wa life style ni kuwa nia aina gani ya chakula unakipenda .Unaweza kula wali na nyama restaurant ya mchina kwa 20 RMB lakini ukienda restaurant ya wabongo hapa ni 50 RMB.
Kuhusu season umekuja ni kunakuwa na maonyesho kwa huku Guangzhou yanaitwa canton fair.Ukicha kipindi cha hii kitu bei za hotel utatamani maji kuita mmma [emoji14] 😛
Masoko ya sm na vifaa vyake hasa ni mji gani,,pia maosoko ya vyombo na pia masoko ya nguo nimiji gani
 
Shukrani.ngoja nijichange nitakutafuta.
Nina ndoto ya kufungua duka la simu.
haina tatizo mkuu tunasaidina kwa kile mtu anachokielewa
Kuhusu visa sikumbuki vizuri maana visa yangu nilipata 2013/2014 hapo hata sikumbuki nililipa bei gani ila nadhani ilikuwa ni around 150tsh.Toka hapo huku napata tu residence permit nayolipa 800RMB a year.
kuhusu nauli ina depend na season pia na tofauti ya lini umekata ticket na lini una safiri.Ukikata ticket mapema bei huwa nafuu kuliko ukikata ticke siku chache kabla ya kusafiri.Ticket andaa kati ya 600$-1200$ kwa round trip btn Dar na GZ
 
Mkuu unataka kwenda kutalii au unataka kwenda kununua mzigo?Unajua ni mzigo gani unataka kwenda kuchukua?Unajua mzigo uko mji gani?Je umeshajua utafikia hoteli gani?Utakaa siku ngapi?Unatfunga mzigo wa thamni gani?Utanunua kwa bei gani?Utasafirisha kwa kampuni/njia gani?Hayo ni baadhi ya maswali lazima ujijibu kabla ya kuamua kutafuta mtu wa kwenda naye kwani wa kwenda no wako wengi sana.

Hayo nayajua yote hotel ata online unabook na nikeshop sana sana alibaba ila now nataka vitu tofaut tofaut nikaone mwnywe nichague boss nataka mtu wakuniguide nikiend
 
Mkuu si ununulie Tu Alibaba unaangalia trusted supplier mwenye review nying na affordable price , alaf kusafrisha unatumia silent ocean , ya nini kujichosha kwenda huko , nauli ungeongezea kwenye mzigo

Nishanunua sana alibaba sana lakini kwasasa nataka kwnd mwnywe hata npate vtu vzur zaid boss
 
Mkuu unataka kwenda kutalii au unataka kwenda kununua mzigo?Unajua ni mzigo gani unataka kwenda kuchukua?Unajua mzigo uko mji gani?Je umeshajua utafikia hoteli gani?Utakaa siku ngapi?Unatfunga mzigo wa thamni gani?Utanunua kwa bei gani?Utasafirisha kwa kampuni/njia gani?Hayo ni baadhi ya maswali lazima ujijibu kabla ya kuamua kutafuta mtu wa kwenda naye kwani wa kwenda no wako wengi sana.

Nataka kwnd kununua mzgo na nisha research sana nkaona sehemu nayotaka kushop ni yiwu
 
Mkuu si ununulie Tu Alibaba unaangalia trusted supplier mwenye review nying na affordable price , alaf kusafrisha unatumia silent ocean , ya nini kujichosha kwenda huko , nauli ungeongezea kwenye mzigo

Nmenunua sana alibaba nataka kwnda mwenyewe
 
Habari, samahani mimi ni mfanyabiashara mdogo wa accesories kofia miwani na pochi nataka kwnda China ninunue mizigo nije kuuza kwa jumla hasa yiwu lakini sina mwenyeji naomba ushauri? Na je kuna ma agent wakuja kukupokea airport na kukuzungusha af yiwu then unawalipa?

Au kama kuna yeyote anaweza kunisaidia nifanyaje tafadhali sijawahi fika China na sina wa kwenda nae, nmetafuta sana sijapata .....
Majibu yatanipa somo...
 
Back
Top Bottom