Kufika China kwa mara ya kwanza kama mfanyabiashara

Hivi viza nayo unalipia?.
 
Usinichoke.
Nauli ya kwenda China na kurudi na kujumlisha hela ya viza jumla ni kiasi gani
haina tatizo mkuu tunasaidina kwa kile mtu anachokielewa
Kuhusu visa sikumbuki vizuri maana visa yangu nilipata 2013/2014 hapo hata sikumbuki nililipa bei gani ila nadhani ilikuwa ni around 150tsh.Toka hapo huku napata tu residence permit nayolipa 800RMB a year.
kuhusu nauli ina depend na season pia na tofauti ya lini umekata ticket na lini una safiri.Ukikata ticket mapema bei huwa nafuu kuliko ukikata ticke siku chache kabla ya kusafiri.Ticket andaa kati ya 600$-1200$ kwa round trip btn Dar na GZ
 
Mkuu tusichokane wangine tunaotaka kujua vip gharama Cha chakula namalazi kwa siku nikiasi gani
 
Mkuu tusichokane wangine tunaotaka kujua vip gharama Cha chakula namalazi kwa siku nikiasi gani

Chakula na malazi inafatana na life style yako na season umekuja.Upande wa life style ni kuwa nia aina gani ya chakula unakipenda .Unaweza kula wali na nyama restaurant ya mchina kwa 20 RMB lakini ukienda restaurant ya wabongo hapa ni 50 RMB.
Kuhusu season umekuja ni kunakuwa na maonyesho kwa huku Guangzhou yanaitwa canton fair.Ukicha kipindi cha hii kitu bei za hotel utatamani maji kuita mmma 😛 😛
 
Masoko ya sm na vifaa vyake hasa ni mji gani,,pia maosoko ya vyombo na pia masoko ya nguo nimiji gani
 
Shukrani.ngoja nijichange nitakutafuta.
Nina ndoto ya kufungua duka la simu.
 

Hayo nayajua yote hotel ata online unabook na nikeshop sana sana alibaba ila now nataka vitu tofaut tofaut nikaone mwnywe nichague boss nataka mtu wakuniguide nikiend
 
Mkuu si ununulie Tu Alibaba unaangalia trusted supplier mwenye review nying na affordable price , alaf kusafrisha unatumia silent ocean , ya nini kujichosha kwenda huko , nauli ungeongezea kwenye mzigo

Nishanunua sana alibaba sana lakini kwasasa nataka kwnd mwnywe hata npate vtu vzur zaid boss
 

Nataka kwnd kununua mzgo na nisha research sana nkaona sehemu nayotaka kushop ni yiwu
 
Mkuu si ununulie Tu Alibaba unaangalia trusted supplier mwenye review nying na affordable price , alaf kusafrisha unatumia silent ocean , ya nini kujichosha kwenda huko , nauli ungeongezea kwenye mzigo

Nmenunua sana alibaba nataka kwnda mwenyewe
 
Majibu yatanipa somo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…