Kufika China kwa mara ya kwanza kama mfanyabiashara

Toka korona imeaanza mwaka jana...wafanyabiashara karibu wote hakuna anaekwenda China....kinachofanyika kwa sasa ni kuagiza mizigo bila kusafiri....na kwa hali ilivyo upo uwezokano mwaka huu ukaisha pia...wafanyabiashara wasiweze kusafiri....hata huduma ya viza kwa biashara hakuna....kama una mtu china muombe akusaidie kununua na kutumia....kwa Alibaba sikushauri Sana....bei zao kidogo ziko juu.
 
Unashaur njia ipi mkuu , mi naona Alibaba nafuu boss? Kama huna mtu aliyeko kule inakuwaje ?
 
Unashaur njia ipi mkuu , mi naona Alibaba nafuu boss? Kama huna mtu aliyeko kule inakuwaje ?
Kama una mtu yeyeto alieko China....wasiliana nae akusaidie kununua mzigo...au kukutafutia wauzaji wenye Bei nzuri...Kisha wakutumie....angalia bei za vitu unavyotaka kuagiza Alibaba....alafu pita Kariakoo ulinganishe...changamoto kubwa kwenye biashara ni kuuza....sio kununua.
 
Hongera
 
Muhimu hakikisha una hela ya kutosha tu mkuu. Maana mzigo ili safari ikulipe lazima ununue wa kutosha.

Pia huko China nikuambie ukweli tu, wafanya biashara wa kkoo huwa kuna hulka ya kukimbiana. Yaan mtu hataki chimbo lake la vitu vizuri lijulikane ili yeye ndo amiliki hizo mali. Kuwa makini sana juu ya hilo. Pia unaweza ukauziwa famba aisee.

Silent ocean si wapo? Hebu jaribu wao.

All the bests mkuu ijapokua wamefunga kwa sasa huko
 
Mrejesho mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…