Toka korona imeaanza mwaka jana...wafanyabiashara karibu wote hakuna anaekwenda China....kinachofanyika kwa sasa ni kuagiza mizigo bila kusafiri....na kwa hali ilivyo upo uwezokano mwaka huu ukaisha pia...wafanyabiashara wasiweze kusafiri....hata huduma ya viza kwa biashara hakuna....kama una mtu china muombe akusaidie kununua na kutumia....kwa Alibaba sikushauri Sana....bei zao kidogo ziko juu.