Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria:
Vitisho hivi ni vya nini?
Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi.
Tuna hata haja ya kutunishia misuli?
Jambo moja la hakika, hatutakuwa wa mwanzo kurusha ngumi.
----
Vitisho hivi ni vya nini?
Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi.
Tuna hata haja ya kutunishia misuli?
Jambo moja la hakika, hatutakuwa wa mwanzo kurusha ngumi.
----
Kusikiliza kesi mahakamani ni haki ya kisheria na Mahakama haipaswi kuzuia watu kuingia kusikiliza kesi hasa za jinai vinginevyo ikute mahakama imeamua kutokutenda haki na hivyo haitaki ionekane inavyosigina sheria. Kitendo Cha jeahi la Polisi kuingilia Uhuru wa mahakama na jaji mkuu kukaa kimya kinatia doa Uhuru wa mahakama dhidi ya serikali.
Tulitegemea jaji Mkuu kwa kesi ya kesho atoe mwongozo akizingatia umuhimu wa watu kuingia mahakamani. Kukaa kwake kimya na kutokukemea eneo la mahakama kunajisiwa kutapelekea mawakili kesho kuzuiwa kuingia mahakamani na ndugu wa watuhumiwa pia. Mahakama ilipaswa kuwakumbusha polisi kwamba Wana haki yakulinda amani siyo haki yakuingilia mahakama. Katika kutekeleza wajibu huo mahakama ilipaswa kuelekeza wazi kwamba kuingia mahakama kwa mwananchi asiye na silaha Ni haki lakini wapo wapo tu wanasubiri mshahara na maelekezo ya wanna siasa. Unajiuliza walikwenda shule kufanya Nini Kama wanaweza kuhuza Uhuru wao kwa polisi. Nani atawatetea matendaji wa mahakama wakiwemo mawakili ?