Kusikiliza kesi mahakamani ni haki ya kisheria na Mahakama haipaswi kuzuia watu kuingia kusikiliza kesi hasa za jinai vinginevyo ikute mahakama imeamua kutokutenda haki na hivyo haitaki ionekane inavyosigina sheria. Kitendo Cha jeahi la Polisi kuingilia Uhuru wa mahakama na jaji mkuu kukaa kimya kinatia doa Uhuru wa mahakama dhidi ya serikali.
Tulitegemea jaji Mkuu kwa kesi ya kesho atoe mwongozo akizingatia umuhimu wa watu kuingia mahakamani. Kukaa kwake kimya na kutokukemea eneo la mahakama kunajisiwa kutapelekea mawakili kesho kuzuiwa kuingia mahakamani na ndugu wa watuhumiwa pia. Mahakama ilipaswa kuwakumbusha polisi kwamba Wana haki yakulinda amani siyo haki yakuingilia mahakama. Katika kutekeleza wajibu huo mahakama ilipaswa kuelekeza wazi kwamba kuingia mahakama kwa mwananchi asiye na silaha Ni haki lakini wapo wapo tu wanasubiri mshahara na maelekezo ya wanna siasa. Unajiuliza walikwenda shule kufanya Nini Kama wanaweza kuhuza Uhuru wao kwa polisi. Nani atawatetea matendaji wa mahakama wakiwemo mawakili ?
Ila polisi bana mpaka wapandikize hofu kwa wananchi.wewe una silaha afu mwananchi Hana kitu.
Yaani mpaka mrukeruke tuwaogope bana.
Kwa kuzingatia Sheria gani na huku wewe u rimoti tu.
Waache waende mahakamani wakiandamana kwa amani walindeni.
Ila Askari bana anamnyanyasa masikini mwenzake kwa maslahi ya mkoloni mweusi.
Yaani hauoni kuwa wote hapo mbasomesha Wana wenu kayumba ama.
Na mnavyojazanaga Kota zilivyo chafu ivyo bado unanipiga mie kisa tu jamaa kule atunyonye vizuri.

Biti la kuvuta trigger sijui watoa risasi kwa magazine.
Wakati wakitokea jambazi sugu mnajificha.
Kuna muda majambazi sugu wanavamia karibia na kituo Cha polisi wakiondoka ndo mnakuja.
Biti la kuvuta trigger sijui watoa risasi kwa magazine.
Wakati wakitokea jambazi sugu mnajificha.
Kuna muda majambazi sugu wanavamia karibia na kituo Cha polisi wakiondoka ndo mnakuja.
Kusikiliza kesi mahakamani ni haki ya kisheria na Mahakama haipaswi kuzuia watu kuingia kusikiliza kesi hasa za jinai vinginevyo ikute mahakama imeamua kutokutenda haki na hivyo haitaki ionekane inavyosigina sheria. Kitendo Cha jeahi la Polisi kuingilia Uhuru wa mahakama na jaji mkuu kukaa kimya kinatia doa Uhuru wa mahakama dhidi ya serikali.
Tulitegemea jaji Mkuu kwa kesi ya kesho atoe mwongozo akizingatia umuhimu wa watu kuingia mahakamani. Kukaa kwake kimya na kutokukemea eneo la mahakama kunajisiwa kutapelekea mawakili kesho kuzuiwa kuingia mahakamani na ndugu wa watuhumiwa pia. Mahakama ilipaswa kuwakumbusha polisi kwamba Wana haki yakulinda amani siyo haki yakuingilia mahakama.
Katika kutekeleza wajibu huo mahakama ilipaswa kuelekeza wazi kwamba kuingia mahakama kwa mwananchi asiye na silaha Ni haki lakini wapo wapo tu wanasubiri mshahara na maelekezo ya wanna siasa. Unajiuliza walikwenda shule kufanya Nini Kama wanaweza kuhuza Uhuru wao kwa polisi. Nani atawatetea matendaji wa mahakama wakiwemo mawakili ?