Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kwa kifupi mwambie inaitwa kegel exercise na huwa inasaidia k iwe mnato kama imifanyika Kwa ufasahaDah pasta unatabu kwel. kufinyia kwa ndani kwako ni umalaya, unayajua mazoez ya misuli ya uke wa mwanamke ni pamoja na kufinyia kwa ndani.
tatizo hamuwi wadadisi mnayabebaga ya kwenye vitabu tu. kufinyia kwa ndani sio umalaya kama ulivyoaminishwa, moja ya zoez la kiasili kabisa la mwanamke kuuweka uke tight pamoja na kukojoa mkojo kwa kuukatisha katisha.