Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu.
Tetesi za ndani kabisa zikadai Princess Diana alikuwa tayari na mimba ya Dodi, yaani Royal family inakuja kuletewa aibu ya mtoto muhindi halafu muislamu then ile damu kuna siku itakuja kutawala Uingereza. Wale wakata umeme wa UK wakasema haiwezekani, ndio siri ya ile ajari Paris iliyochukuwa maisha ya Princess Diana na mimba yake ya muhindi?
Nimechokoza hii mada wakati muafaka ili wajuzi mtudadavulie vizuri ukweli uwekwe wazi.
Cc: Pascal Mayalla