Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry, huu utakuwa ni umbea!.
P
😂😂Mshaanza mambo yenu, si mna jukwaa lenu huko la kugombea hizo million 5 za Max?
Inaonekana uliifuatulia kwa ukaribu sana habari ya Diana (R.I.P) na kasri la Kifalme la UK.Duuuu, nimeandika hata swali lako silikumbuki, I'll be back
Huyu yupo deep na habari za Ufaransa
Doddy Al Fayed aliekua mpenzi wa Princess Diana, hakua mpakistani alikua ni mwarabu wa Misri. Baba yake Mohamed Al Fayed alikua ni tajiri mkubwa sana hapo London akimiliki Duka la Vitu vya bei mbaya la " The Harrods" lipo mitaa ya Knightsbridge na Kensington. Pia alikua ndio mmiliki wa Hotels za Ritz London na Paris na timu ya Fulham kabla hajaiuza kwa mmiliki wa sasa. Siku ajali inatokea hao wapenzi walikua wametokea kwenye hio hotel ya baba yake ya The Ritz Paris. Mohamed Al Fayed alikua na connection na utawala wa Uingereza kwa hio ilikua rahisi kwa mtoto wake Doddy kumpata Diana. Yeye na shemeji yake marehemu Adnan Khashoggi ndio waliokua middlemen wa kuuza silaha za Uingereza duniani. Adnan Khashoggi alikua ni baba mdogo wa yule mwandishi wa Saudi Arabia alieuawa kwenye ubalozi kule Istanbul Turkey. ni familia ya kitajiri yenye uhusiano na ufalme wa Saudi Arabia.... nitarudi ili nieleze ukitaka kitu chochote lazima uwe na connection.Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu.
Tetesi za ndani kabisa zikadai Princess Diana alikuwa tayari na mimba ya Dodi, yaani Royal family inakuja kuletewa aibu ya mtoto muhindi halafu muislamu then ile damu kuna siku itakuja kutawala Uingereza. Wale wakata umeme wa UK wakasema haiwezekani, ndio siri ya ile ajari Paris iliyochukuwa maisha ya Princess Diana na mimba yake ya muhindi?
Nimechokoza hii mada wakati muafaka ili wajuzi mtudadavulie vizuri ukweli uwekwe wazi.
Cc: Pascal Mayalla
Interesting..Doddy Al Fayed aliekua mpenzi wa Princess Diana, hakua mpakistani alikua ni mwarabu wa Misri. Baba yake Mohamed Al Fayed alikua ni tajiri mkubwa sana hapo London akimiliki Duka la Vitu vya bei mbaya la " The Harrods" lipo mitaa ya Knightsbridge na Kensington. Pia alikua ndio mmiliki wa Hotels za Ritz London na Paris na timu ya Fulham kabla hajaiuza kwa mmiliki wa sasa. Siku ajali inatokea hao wapenzi walikua wametokea kwenye hio hotel ya baba yake ya The Ritz Paris. Mohamed Al Fayed alikua na connection na utawala wa Uingereza kwa hio ilikua rahisi kwa mtoto wake Doddy kumpata Diana. Yeye na shemeji yake marehemu Adnan Khashoggi ndio waliokua middlemen wa kuuza silaha za Uingereza duniani. Adnan Khashoggi alikua ni baba mdogo wa yule mwandishi wa Saudi Arabia alieuawa kwenye ubalozi kule Istanbul Turkey. ni familia ya kitajiri yenye uhusiano na ufalme wa Saudi Arabia.... nitarudi ili nieleze ukitaka kitu chochote lazima uwe na connection.
Hapa kuna nini?
Dah hatariDoddy Al Fayed aliekua mpenzi wa Princess Diana, hakua mpakistani alikua ni mwarabu wa Misri. Baba yake Mohamed Al Fayed alikua ni tajiri mkubwa sana hapo London akimiliki Duka la Vitu vya bei mbaya la " The Harrods" lipo mitaa ya Knightsbridge na Kensington. Pia alikua ndio mmiliki wa Hotels za Ritz London na Paris na timu ya Fulham kabla hajaiuza kwa mmiliki wa sasa. Siku ajali inatokea hao wapenzi walikua wametokea kwenye hio hotel ya baba yake ya The Ritz Paris. Mohamed Al Fayed alikua na connection na utawala wa Uingereza kwa hio ilikua rahisi kwa mtoto wake Doddy kumpata Diana. Yeye na shemeji yake marehemu Adnan Khashoggi ndio waliokua middlemen wa kuuza silaha za Uingereza duniani. Adnan Khashoggi alikua ni baba mdogo wa yule mwandishi wa Saudi Arabia alieuawa kwenye ubalozi kule Istanbul Turkey. ni familia ya kitajiri yenye uhusiano na ufalme wa Saudi Arabia.... nitarudi ili nieleze ukitaka kitu chochote lazima uwe na connection.
Mohamed Al Fayed ni Muarabu wa Misri.Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu.
Tetesi za ndani kabisa zikadai Princess Diana alikuwa tayari na mimba ya Dodi, yaani Royal family inakuja kuletewa aibu ya mtoto muhindi halafu muislamu then ile damu kuna siku itakuja kutawala Uingereza. Wale wakata umeme wa UK wakasema haiwezekani, ndio siri ya ile ajari Paris iliyochukuwa maisha ya Princess Diana na mimba yake ya muhindi?
Nimechokoza hii mada wakati muafaka ili wajuzi mtudadavulie vizuri ukweli uwekwe wazi.
Cc: Pascal Mayalla
Kwanza Dod alikuwa mwarabu wa asili ya Misri. Pili kile kifo ni ajali .Though kusema ukweli malkia Eliza alimuumiza sana Di. Yaani huko kuzimu Lady Di atakuwa anamsubiri Eliza kwa hasira kama zote. Ila jokes a side Charles 111 hatakaa sana kwenye huu ufalme. Naona kama ataugua Alzheimer soon,alimtesa sana Diana kwenye ndoa yao.Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu.
Tetesi za ndani kabisa zikadai Princess Diana alikuwa tayari na mimba ya Dodi, yaani Royal family inakuja kuletewa aibu ya mtoto muhindi halafu muislamu then ile damu kuna siku itakuja kutawala Uingereza. Wale wakata umeme wa UK wakasema haiwezekani, ndio siri ya ile ajari Paris iliyochukuwa maisha ya Princess Diana na mimba yake ya muhindi?
Nimechokoza hii mada wakati muafaka ili wajuzi mtudadavulie vizuri ukweli uwekwe wazi.
Cc: Pascal Mayalla
Mtu akifa anawezaje kumsubiri mwingine ?Kwanza Dod alikuwa mwarabu wa asili ya Misri. Pili kile kifo ni ajali .Though kusema ukweli malkia Eliza alimuumiza sana Di. Yaani huko kuzimu Lady Di atakuwa anamsubiri Eliza kwa hasira kama zote. Ila jokes a side Charles 111 hatakaa sana kwenye huu ufalme. Naona kama ataugua Alzheimer soon,alimtesa sana Diana kwenye ndoa yao.