Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo ni kama Diana alifanya makusudi ili alipizeJibu la mitego mitego.
Kamila alikuwa nyumba ndogo tokea hukooo
Sema chochote Wacha kuskilizaNaskiliza kwa makini
🤣🤣🤣🤣🤣 anza wewe kusema chochote. Yaezekana hata malkia ulikua hujui kama yupoSema chochote Wacha kuskiliza
Yap in kweli hata malikia aliolewa na binamu yake...Unaleta mtt kwenye familia ya kifalme kutoka kwa mwarabu Tena muislamu hili lilikuwa ni tusi kwa ufalme, fikiria siku moja anapewa kiti je wataweka wapi sura zao?,suala lilikuwa ni mtu gani aliye na uhusiano na Diana!,, shida haikuwa pesa bali ni bloodline, familia zote ulaya hupeana ndoa kwa bloodline zinazofanana, ukiangalia vizuri famle za ulaya zote ni ndugu, ni bora kwa taswira ya ufalme angeingia mahusiano na labda house of rothchilds au wakubwa wengine UK...si Windsor house hata familia za machifu enzi hizo hali ilkuwa hivi!, Hawa wenyew ni German nobilty walibadilisha jina kutoka Saxe-Coburg-Gotha-Battenberg hadi Windsor-Mountbatten house ili kuondoa ujerumani kwenye jina, kutoka nje ya bloodline ni tusi aidha ufariki au wakutenge.
Sio kweli pasco..sala ikisaliwa ipasavyo humuepusha mja na mambo maovu na machafu..kwanini wewe unatetea uovu wa ccm🤔Ninasali sana Mungu anifundishe kunyamaza!.
P
Kuna tetesi zingine kuwa Diana alizikwa eneo la makaburi wanakozikwa mbwa wakifa wa wafalme na malkia wa UingerezaYes ni kweli haya mambo yalitokea, ila pia kuna umri na umri wa kusema vitu na vitu, enzi tukiwa vijana, ikitokea issue wewe umemjaza beki3 wenu, ni news ni story, tutasema, hivyo wakati hayo yanatokea I was young ningesema. Now nikisikia wewe umemjaza beki 3 wenu, mimi babu going to 60!, nitathubutu kweli kusema?!.
Hako kabinti kalijazwa, taarifa zikafika ukoo wa kifalme, hivyo binti mama wa mflme ajae, ajazwe nje, na kijana wa Kiarabu, Muislamu!, katoto kazaliwe!, if anything happens kwa kaka zake wawili, katoto ka mwanaharamu hako, kanatawazwa kuwa kafalme!, that will never happen in England!, ikaamuliwa, she and her issue, they both had to go, na aliyesababisha!, they eventually well taken care of!. Story za namna hii, mimi at around 60!, they are not for me to say!. Stories zangu za sasa, ni ikiwa nitachaguliwa EALA, ni agenda gani?, nitakwenda kuifanyia nini Tanzania etc, vitu kama hivyo, na sio kueleza kama mwanamke fulani ana kamzigo ka fulani as if ni mimi niliwashikia mguu wakati wa kuingiza hako kamzigo!.
P
Yes sio kofia ni crown ya Qeen, ina the biggest diamond na ilitoka Mwadui, Williamson ndio mtu wa kwanza kumpenda Eliza, akataka kumzawadia hiyo Diamond, kufuatia tetesi za Eliza kumpenda Williamson, familia ilikataa asiolewe na William kwasababu hana damu ya kifalme, ndipo Williamsom akawapa bure diamond hiyo Debiers wa SA, nao wakaitoa bure kwa Queen ili isijulikane imetolewa na Williamson, hivyo haikuthaminishwa hadi leo!. Eliza akaozeshwa kwa Philip kwenye arranged marriages kama Chale na Diana.Nasikia ile kofia ina diamond ya thaman ya £usd tril 400 usd.ambayo hutumika ku coronateion
Williamson halafu nchi hii masikini kweli ?????Yes sio kofia ni crown ya Qeen, ina the biggest diamond na ilitoka Mwadui, Williamson ndio mtu wa kwanza kumpenda Eliza, akataka kumzawadia hiyo Diamond, kufuatia tetesi za Eliza kumpenda Williamson, familia ilikataa asiolewe na William kwasababu hana damu ya kifalme, ndipo Williamsom akawapa bure diamond hiyo Debiers wa SA, nao wakaitoa bure kwa Queen ili isijulikane imetolewa na Williamson, hivyo haikuthaminishwa hadi leo!. Eliza akaozeshwa kwa Philip kwenye arranged marriages kama Chale na Diana.
Diamond hiyo haina thamani kwa lengo la kuifanya ni priceless, imeingizwa kwenye vito wa wakfu wa royal family haivuzwi!.
P
Dereva alikuwa kalewa. Anaingia kwenye tunnel kwa speed ya 110km/h. Kwenye ule tunnel unatakiwa uingie kwa 30km/h na uendeshe kwa speed hiyo mpaka utoke kwenye hiyo tunnel ya 200m.Wakati gari inatolewa meter ilisoma 196km/h. Walioshuhudia wanasema gari iliendeshwa between 145km/h-196km/hr. Diana na Dod walikuwa hawajafunga mikanda. Aliefunga mkanda ni yule mlinzi wao na alipona.Hakuna cha ujasusi. Unataka kusema dereva alipewa hela ili asababishe ajali na yeye afe humo humo ?Yaani kwa jinsi Diana alivyokuwa anafuatiliwa na paparazi kipindi kile,ile ilikuwa ni ajali tu.ok ok ilikua ajali..ungekua unajua ujasusi ungeelewa. kuna visa vingi vinatokea ila kwa watu wa kawaida kama wewe utaona ni ajali. ..Yes ilikua ajali Ok.
Dodi ni mmisri sio muhindiWakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu.
Tetesi za ndani kabisa zikadai Princess Diana alikuwa tayari na mimba ya Dodi, yaani Royal family inakuja kuletewa aibu ya mtoto muhindi halafu muislamu then ile damu kuna siku itakuja kutawala Uingereza. Wale wakata umeme wa UK wakasema haiwezekani, ndio siri ya ile ajari Paris iliyochukuwa maisha ya Princess Diana na mimba yake ya muhindi?
Nimechokoza hii mada wakati muafaka ili wajuzi mtudadavulie vizuri ukweli uwekwe wazi.
Cc: Pascal Mayalla
😎Connection. Connection connection
Hivi familia ya Mama yetu Samia inaishi hapa Dar au Zanzibar
Siioni mantiki ya post YAKO, vyema usingepost tu. Story ya princess diana iko viral google tangu kitambo tu.Mkuu Matola , wakati yote hayo yanatokea, mimi nilikuwa naishi UK, jiji la London, nikiishi Richmond, wife akisoma Journalism St. Mary's College Twickenham.
Naujua ukweli huo na hadi kisababishi cha ajali ile, na status ya Lady D, sasa mimi ni mtu mzima, going to 60!, sitakiwa kuwa nasema sema mambo ya watu ambayo yataingilia the right to privacy!. Ngoja tuu tuangalie mifuko imekaaje, tenzetu tukamzike huyu Bibi!. Tukio ambalo huwa lifuatiliwa na watu wengi dunia nzima ni the coronation ya England!. Hivyo nikitia timu kwenye mazishi, nitakaa mpaka coronation!.
P
Kilichokuleta kwenye Uzi huu ni nini hasa? Kuja kukatika mauno?Siioni mantiki ya post YAKO, vyema usingepost tu. Story ya princess diana iko viral google tangu kitambo tu.
Duh, jf tumefika stage ya kupangiana cha ku post?. Jf tuna freedom ku post chochote hata utumbo, the owner of nini kina mantiki na nini hakina, ni copyright ya posters na sio readers. Ila pia naheshimu your freedom to comment chochote kuhusu post yoyote ila tusipangiane cha kuandika.Siioni mantiki ya post YAKO, vyema usingepost tu.
Stress zinafanya baadhi yetu wamegeuka vichaa, naonaga Facebook Maulid Kitenge akipost photo zake yupo ulaya hizi kenge huwa zinamwagiga mapovu chuki, hasira na roho mbaya.Duh, jf tumefika stage ya kupangiana cha ku post?. Jf tuna freedom ku post chochote hata utumbo, the owner of nini kina mantiki na nini hakina, ni copyright ya posters na sio readers. Ila pia naheshimu your freedom to comment chochote kuhusu post yoyote ila tusipangiane cha kuandika.
P
[emoji1] tozo hizo zimewavuruga watu we mzee wa drive in maghorofaniDuh, jf tumefika stage ya kupangiana cha ku post?. Jf tuna freedom ku post chochote hata utumbo, the owner of nini kina mantiki na nini hakina, ni copyright ya posters na sio readers. Ila pia naheshimu your freedom to comment chochote kuhusu post yoyote ila tusipangiane cha kuandika.
P