Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa tajiri Dodi ambaye ni jamii ya wahindi wa Pakistani kama sikosei na pia ni waislamu.

Tetesi za ndani kabisa zikadai Princess Diana alikuwa tayari na mimba ya Dodi, yaani Royal family inakuja kuletewa aibu ya mtoto muhindi halafu muislamu then ile damu kuna siku itakuja kutawala Uingereza. Wale wakata umeme wa UK wakasema haiwezekani, ndio siri ya ile ajari Paris iliyochukuwa maisha ya Princess Diana na mimba yake ya muhindi?

Nimechokoza hii mada wakati muafaka ili wajuzi mtudadavulie vizuri ukweli uwekwe wazi.

Cc: Pascal Mayalla
Mbona mnamkomalia sana bibi wa watu?
Kifo cha Princess Diana kilipangwa, maana hawakutaka kuona mkwe wao anaeda kuolewa na Dodi, mbaya zaidi ni kuwa Princess Diana anajua siri za UK hivyo waliona huyu anaweza akauza ramani huko kwa Dodi.
Wakamnyamazisha chap.
Umamkumbuka Marilyn Monroe
 
Yes ni kweli haya mambo yalitokea, ila pia kuna umri na umri wa kusema vitu na vitu, enzi tukiwa vijana, ikitokea issue wewe umemjaza beki3 wenu, ni news ni story, tutasema, hivyo wakati hayo yanatokea I was young ningesema. Now nikisikia wewe umemjaza beki 3 wenu, mimi babu going to 60!, nitathubutu kweli kusema?!.

Hako kabinti kalijazwa, taarifa zikafika ukoo wa kifalme, hivyo binti mama wa mflme ajae, ajazwe nje, na kijana wa Kiarabu, Muislamu!, katoto kazaliwe!, if anything happens kwa kaka zake wawili, katoto ka mwanaharamu hako, kanatawazwa kuwa kafalme!, that will never happen in England!, ikaamuliwa, she and her issue, they both had to go, na aliyesababisha!, they eventually well taken care of!. Story za namna hii, mimi at around 60!, they are not for me to say!. Stories zangu za sasa, ni ikiwa nitachaguliwa EALA, ni agenda gani?, nitakwenda kuifanyia nini Tanzania etc, vitu kama hivyo, na sio kueleza kama mwanamke fulani ana kamzigo ka fulani as if ni mimi niliwashikia mguu wakati wa kuingiza hako kamzigo!.
P

Toa vitu mzee mbona unatoa story nusunusu
 
Dereva alikuwa kalewa. Anaingia kwenye tunnel kwa speed ya 110km/h. Kwenye ule tunnel unatakiwa uingie kwa 30km/h na uendeshe kwa speed hiyo mpaka utoke kwenye hiyo tunnel ya 200m.Wakati gari inatolewa meter ilisoma 196km/h. Walioshuhudia wanasema gari iliendeshwa between 145km/h-196km/hr. Diana na Dod walikuwa hawajafunga mikanda. Aliefunga mkanda ni yule mlinzi wao na alipona.Hakuna cha ujasusi. Unataka kusema dereva alipewa hela ili asababishe ajali na yeye afe humo humo ?Yaani kwa jinsi Diana alivyokuwa anafuatiliwa na paparazi kipindi kile,ile ilikuwa ni ajali tu.
Za kuambiwa changanya na za kwako!!!
 
Duh, jf tumefika stage ya kupangiana cha ku post?. Jf tuna freedom ku post chochote hata utumbo, the owner of nini kina mantiki na nini hakina, ni copyright ya posters na sio readers. Ila pia naheshimu your freedom to comment chochote kuhusu post yoyote ila tusipangiane cha kuandika.
P
Pengine ulinisoma ila hukunielewa, umesema wakati wa kifo cha princess diana ulikuwa uk na unajua behind the scene katika post YAKO, then hiyo hidden story hujaieleza hapa, ndio maana nikakujibu "kulikuwa na ulazima wa wewe kupost hiyo post YAKO!? Ni bora ungekaa kimya bila kupost ili tusijue kuwa unajua,". Coz umewapa watu kiu... Watu wanapenda mastory deep ambayo hayajafumbululiwa KWA wengi, kuonjesha kunaleta kiu, nami ni mmoja wao, unaweza kudhani unajua kitu,kumbe hujui kwamba hujui... Pengine hukuelewa, mantiki yangu ilikuwa hiyo legend...
 
Doddy Al Fayed aliekua mpenzi wa Princess Diana, hakua mpakistani alikua ni mwarabu wa Misri. Baba yake Mohamed Al Fayed alikua ni tajiri mkubwa sana hapo London akimiliki Duka la Vitu vya bei mbaya la " The Harrods" lipo mitaa ya Knightsbridge na Kensington. Pia alikua ndio mmiliki wa Hotels za Ritz London na Paris na timu ya Fulham kabla hajaiuza kwa mmiliki wa sasa. Siku ajali inatokea hao wapenzi walikua wametokea kwenye hio hotel ya baba yake ya The Ritz Paris. Mohamed Al Fayed alikua na connection na utawala wa Uingereza kwa hio ilikua rahisi kwa mtoto wake Doddy kumpata Diana. Yeye na shemeji yake marehemu Adnan Khashoggi ndio waliokua middlemen wa kuuza silaha za Uingereza duniani. Adnan Khashoggi alikua ni baba mdogo wa yule mwandishi wa Saudi Arabia alieuawa kwenye ubalozi kule Istanbul Turkey. ni familia ya kitajiri yenye uhusiano na ufalme wa Saudi Arabia.... nitarudi ili nieleze ukitaka kitu chochote lazima uwe na connection.
Salute Mkuu
 
Yes ni kweli haya mambo yalitokea, ila pia kuna umri na umri wa kusema vitu na vitu, enzi tukiwa vijana, ikitokea issue wewe umemjaza beki3 wenu, ni news ni story, tutasema, hivyo wakati hayo yanatokea I was young ningesema. Now nikisikia wewe umemjaza beki 3 wenu, mimi babu going to 60!, nitathubutu kweli kusema?!.

Hako kabinti kalijazwa, taarifa zikafika ukoo wa kifalme, hivyo binti mama wa mflme ajae, ajazwe nje, na kijana wa Kiarabu, Muislamu!, katoto kazaliwe!, if anything happens kwa kaka zake wawili, katoto ka mwanaharamu hako, kanatawazwa kuwa kafalme!, that will never happen in England!, ikaamuliwa, she and her issue, they both had to go, na aliyesababisha!, they eventually well taken care of!. Story za namna hii, mimi at around 60!, they are not for me to say!. Stories zangu za sasa, ni ikiwa nitachaguliwa EALA, ni agenda gani?, nitakwenda kuifanyia nini Tanzania etc, vitu kama hivyo, na sio kueleza kama mwanamke fulani ana kamzigo ka fulani as if ni mimi niliwashikia mguu wakati wa kuingiza hako kamzigo!.
P

Sasa kama hutaki kuendelea kusema ulisema ya nini si ungekaa kimya. Hili ni jambo liko wazi kila mtu anajua.
 
Wakuu Mimi naomba mwenye anaweza kuweza link ya ule uzi uliokua unaelezea utaratibu wa mazishi ya malkia yanavyokua kuanzia kutangazwa mpaka mazishi yake
 
Back
Top Bottom