Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

Vipi kama alikuwa kashauza hizo siri tayari?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Kabla ya kifo chake aliongea kidogo kwa TV wakati akihojiwa na mwanahabari maarufu Martin Bashir, hio tu ilionesha kuwa anataka kutoa siri nyingi ,kipindi hicho alikua na mpenzi mpakistan Dr. Hasnat Khan hadi mwishoni wa 1996..Summer 1997 aliondoka na mpenzi wake Doddy Al Fayed kwenda holiday South of France hadi Paris ilioenda hadi kwenye ajali. Nchi za wenzetu uwa wakiamua kunyamazisha kitu hawaachagi hata punje... wale wote walioshudia kwa ukaribu ile ajali wengi wao ni marehemu sasa hivi. Walio nusa nusa hizo siri wamenyamazishwa kabisaaa kuanzia baba yake Dodi Al Fayed hadi huyo aliemhoji kwa TV. Kaka yake Princess Diana akiitwa Early Spencer nae alitaka kuanza kuongea, alifungiwa pesa yake ya kutosha akahama UK, siku hizi anaishi Cape Town , SA. Kuna mmoja alikua kama msaidizi wa Princess Diana, yeye aliongea kidogo tu wakamzushia kesi akadivorce ilibidi ahamie US.... yule waziri wa ulinzi nae kumbe alitoka jela yupo low profile kawa pasta wa kanisa.......
 
Sidhani kama Princess wakati anafariki alikuwa na mimba, ila alikuwa na uwezekano wa kupata.

Lingine baba wa yule kijana kutokufahamika mpaka leo,

Hata yule mwalimu wa farasi alisema siyo, kwamba ana date na princess yule mtoto alikuwa tayari anatembea.

Japo ni kama aligoma DNA, hapo ni baada ya princess kufariki
 
fun fact...

kuna babu yake Lady D alikuwa na mke ambaye ni Native American (Red Indian)! alikuwa na heritage ya Kimarekani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…