Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Washaanza tayariMataga watapinga
Nyumbu wanashangilia na kukubali maana pingapinga Fc imeishiwa pumzi.Mataga watapinga
Mabeberu HayatupendiSijapata kusikia hapo kabla!
Mabeberu nao wamechanganyikiwa sana
Hata kama ni utaratibu wa kawaida nafikiri ingepasa bendera hiyo isipepee kabisa nusu mlingoti maana Nchi mwanachama Rais wake miaka 6 hakuhudhuria hata Mkutano mmoja wa UN eti kwa ya kutojua Kingereza, Kisukuma nacho je?HUU UTARATIBU NI WA KAWAIDA AU UMEANZA KWA HAYATI MAGUFURI??
MAANA ZITAANZA DRAMA ZA AJABU MUDA SIO MREFU
Mataga mshaanzaHakika mtu huyu alikuwa ni mtenda haki na kipenzi cha watu.
Alikuja nani? Mbona haitajwi tajwi ama hakukuwa na mataga.Air Force One ilitua Tz kwa mara ya kwanza Msiba wa Mwalimu
Ngoja tuendelee kushangaa na hili la nusu mlingoti
Ungejuaje wakati hujawahi kufiwa rais akiwa madarakani?Sijapata kusikia hapo kabla!
Mabeberu nao wamechanganyikiwa sana
Kwahiyo?Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli
Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
View attachment 1732078