Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

Subiri wenye mihemeko waje uone utakavyokosolewa kwa kukosa uzalendo, simply umetoa elimu!
Wenzako wanataka kuuaminisha ulimwengu wa waTz wasiopenda kusoma kwamba hiyo haijawahi tokea tokea UN ianzishwe.

Everyday is Saturday............................... 😎
Aisee yaani sisi Wabongo tunadanganywa mno kwa mambo mengi sana na kwa sababu tu ya uvivu wetu.
 
Wabongo wengi kwanza ni wavivu wa Kusoma, hilo halina ubishi, hivyo kwa sababu inajulikana hii huwa kuna watu wanaitumia kwa manufaa yao wenyewe.

Anapo kufa Kiongozi wa Nchi Mwanachama wa UN bendera ya UN hupepea nusu mlingoti kwenye jengo lake la makao mkuu pale New York.

Hii ni sheria sio utashi wa Katibu mkuu wala nini.

Hivyo kwa sababu Mheshimiwa Hayati Magufuri alikuwa Raisi wa nchi Mwanachama Sheria inataka Bendera ipepee nusu mlingoti pale UN.
Mbona unaleta thread na kejeli juu kwani ungesema tu kua bendera ya UN kupepea nusu mlingoti kwa sababu Hii na ni sheria na ukaweka udhibitisho unadhani nani atahoji Mkuu?
 
Aisee yaani sisi Wabongo tunadanganywa mno kwa mambo mengi sana na kwa sababu tu ya uvivu wetu
Mihemko na elimu havichangamani.
Kwa siasa zetu, mwenye mihemko ndiyo mzalendo, mwenye kusoma na kupambanua mambo ni adui na anatumika na wapinga maendeleo.
Usistaajabu Prof kumuita mtu Mhm Mungu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wabongo wengi kwanza ni wavivu wa Kusoma, hilo halina ubishi, hivyo kwa sababu inajulikana hii huwa kuna watu wanaitumia kwa manufaa yao wenyewe.

Anapo kufa Kiongozi wa Nchi Mwanachama wa UN bendera ya UN hupepea nusu mlingoti kwenye jengo lake la makao mkuu pale New York.

Hii ni sheria sio utashi wa Katibu mkuu wala nini.

Hivyo kwa sababu Mheshimiwa Hayati Magufuri alikuwa Raisi wa nchi Mwanachama Sheria inataka Bendera ipepee nusu mlingoti pale UN.

Una jambo zuri la kutueleza. Lkn umeeleza katika njia ya kutukosea heshima na dharau. Unaweza kututolea taarifa ya utafiti inayoonesha kuwa waTanzania hawasomi?
 
Hawa mabeberu watakuwa wanafurahi kifo cha kiboko yao.

Sasa wanahema,maana walibananika kila kona.

Watuache tumalizane wenyewe,huo unafika ubaki kwao.

Au sio MATAGA wenzangu.
Kwenye madini aliwabana kweli
Big up kwa hiyoo

Ova
 
ni utaratibu wa kawaida tuu....sio jambo jipya hili...kiongozi mkuu wa nchi ambayo ni mwanachama wa UN, anapofariki akiwa madarakani hili hufanyika tokea enzi....note: amefariki akiwa madarakani>>>
 
Subiri wenye mihemeko waje uone utakavyokosolewa kwa kukosa uzalendo, simply umetoa elimu!
Wenzako wanataka kuuaminisha ulimwengu wa waTz wasiopenda kusoma kwamba hiyo haijawahi tokea tokea UN ianzishwe.

Everyday is Saturday............................... 😎
😀😀😀😀😀
 
Huu utaratibu ni wa kawaida au umeanza kwa Hayati Magufuli?

Maana zitaanza drama za ajabu muda sio mrefu
... ni wa kawaida anapofariki rais aliye madarakani kwa nchi mwanachama wa UN! Ni utaratibu wa kawaida mno wajinga wasijichukulie credits!
 
Una jambo zuri la kutueleza. Lkn umeeleza katika njia ya kutukosea heshima na dharau. Unaweza kututolea taarifa ya utafiti inayoonesha kuwa waTanzania hawasomi?
Hajawakosea heshima. Amesema kweli tupu. Ushahidi ni huyo aliyeomba awekewe sheria inayosema hivyo wakati ana smart phone.

Amandla...
 
Hata kama ni utaratibu wa kawaida nafikiri ingepasa bendera hiyo isipepee kabisa nusu mlingoti maana Nchi mwanachama Rais wake miaka 6 hakuhudhuria hata Mkutano mmoja wa UN eti kwa ya kutojua Kingereza, Kisukuma nacho je? Rais mpya anajua faida ya kuwa na Makamu anayejua lugha za Kimataifa maana yeye akiwa Makamu alimuwakilisha Rais mara kadhaa kwa hiyo asikubali CCM wamletee Rais ajaye mbumbumbu aaibishe Nchi yetu. Miaka 6 imeaibishwa vya kutosha!
Wewe ni mbumbumbu kabisa!
 
Unateseka
 
Back
Top Bottom