Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

mbna tulijua ni shujaa wa afrika, kumbe ni shujaa wa dunia nzima?
 
Kupitia ukurasa wao wa twitter wameandika kuwa.

“Bendera ya #UmojaWaMataifa itapepea nusu mlingoti kwenye makao makuu ya UN #NYC Ijumaa Machi 26 kumuenzi aliyekuwa rais wa #Tanzania, John Pombe Joseph #Magufuli, kufuatia kifo chake Machi 17.

Ofisi ya Itifaki imesema ofisi zote za UN duniani zimehimizwa kufanya hivyo pia.”

nnnnn.png
 
Isiwe sehemu ya mkakati wa kuanza kutengeneza mazingira ya wale jamaa aliwakataa mambo yao ya kampuni za kibeberu kuja kujifanya wapo pamoja kumbe wana lengo lao..siasa za ulimwengu ni hatari!..any way ni sawa kwa nchi mwanachama wa UN..
 
Kwa CCM hii itakuwa headline news!! Kwa nchi wanachama wa Umojawa Mataifa - kama nchi mojawapo itapoteza Rais aliyeko madarakani basi UN inawajibika kifanya hivi..si jambo geni wala la kushadadia.
 
Naona kipindi hiki tangu tarehe 17 una furaha sana.
Yaan kama unahis ni wapinzani wote wamefurahi basi umekosea..mm kila siku nalia...naumia...sikuhis kama atakufa kweli...naumia vby mno...kila usk.naanza angalia.youtube za nyuma machozi yanatoka ..nimeumia sana...yaan nimeumia yeye kama yeye kufa...sijahusisha uchama!umenifikiria vby sana
 
Pole sana.
 
Hata kifo cha Iddi Amini bendera za UN zilipepea nusu mlingoti
 
Lissu alitangazia mabeberu kuwa JPM aliwatesa Watanzania ! Sasa ataficha wapi uso wake ? Angalia umati wa watu . Shame on you !

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom