Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

Aisee yaani sisi Wabongo tunadanganywa mno kwa mambo mengi sana na kwa sababu tu ya uvivu wetu.
 
Mbona unaleta thread na kejeli juu kwani ungesema tu kua bendera ya UN kupepea nusu mlingoti kwa sababu Hii na ni sheria na ukaweka udhibitisho unadhani nani atahoji Mkuu?
 
Aisee yaani sisi Wabongo tunadanganywa mno kwa mambo mengi sana na kwa sababu tu ya uvivu wetu
Mihemko na elimu havichangamani.
Kwa siasa zetu, mwenye mihemko ndiyo mzalendo, mwenye kusoma na kupambanua mambo ni adui na anatumika na wapinga maendeleo.
Usistaajabu Prof kumuita mtu Mhm Mungu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 

Una jambo zuri la kutueleza. Lkn umeeleza katika njia ya kutukosea heshima na dharau. Unaweza kututolea taarifa ya utafiti inayoonesha kuwa waTanzania hawasomi?
 
Hawa mabeberu watakuwa wanafurahi kifo cha kiboko yao.

Sasa wanahema,maana walibananika kila kona.

Watuache tumalizane wenyewe,huo unafika ubaki kwao.

Au sio MATAGA wenzangu.
Kwenye madini aliwabana kweli
Big up kwa hiyoo

Ova
 
ni utaratibu wa kawaida tuu....sio jambo jipya hili...kiongozi mkuu wa nchi ambayo ni mwanachama wa UN, anapofariki akiwa madarakani hili hufanyika tokea enzi....note: amefariki akiwa madarakani>>>
 
😀😀😀😀😀
 
Huu utaratibu ni wa kawaida au umeanza kwa Hayati Magufuli?

Maana zitaanza drama za ajabu muda sio mrefu
... ni wa kawaida anapofariki rais aliye madarakani kwa nchi mwanachama wa UN! Ni utaratibu wa kawaida mno wajinga wasijichukulie credits!
 
Una jambo zuri la kutueleza. Lkn umeeleza katika njia ya kutukosea heshima na dharau. Unaweza kututolea taarifa ya utafiti inayoonesha kuwa waTanzania hawasomi?
Hajawakosea heshima. Amesema kweli tupu. Ushahidi ni huyo aliyeomba awekewe sheria inayosema hivyo wakati ana smart phone.

Amandla...
 
Wewe ni mbumbumbu kabisa!
 
Unateseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…