Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila mfungwa anatakiwa kuzurula nje. Hamjui tabia za wafungwa nyieKatika hii nchi watu walipiga hela. Kuna kipindi ilikua ni gharama zaidi kumlisha mfungwa mmoja kuliko mwanafunzi wa boding school. Ilikua aibu. Wanafunzi wanasoma huku wafungwa wanaoana waume kwa waume kwa hela ya serikali
Mkaruka usiruke ruke kwa jazba. Toa maelezo yakutosha Ni wafungwa wepi, sababu, idadi yao na wako wapi.Siyo kila mfungwa anatakiwa kuzurula nje. Hamjui tabia za wafungwa nyie
Yalikuwa hayafanyiki sasa yanafanyika lazima umkubali mwamba wa ChatoHiyo nayo ni habari?
Ardhi wanayo, nguvu kazi wanayo kwanini wasilime?
Unalijua gereza la Songwe au Isupilo n.k ?
Waache kiki na kutaka kuuza sura kwa malaika wa Chato!
Na askari magereza wana kazi gani ama wanakula kodi zetu bure. Inatakiwa wawende depo kama vipi wawe fiti.Yaani serikali inatakiwa iuze hiyo nguvu kazi. Wafanye kazi kwa manufaa ya nchi. Iwatafutie kazi za vibarua hata viwandani huko nchi za ng'ambo bana.Halafu watoroke!!
Aisee bora wajilishe na kilichozidi wauze hele itakayopatikana iboreshe magereza na nyingine wapewe ila ukisema wapige vibarua wakati na sisi huku raia wema tunategemea vibarua hivyohivyo utatuua njaaTena inatakiwa walime mpaka waweke kwenye ghala LA serikali na chakula wauze nje ya nchi.
Wafungwa wakipiga sana kazi wanakuwa wanawekewa buku 5 padei wakitoka wawe na pa kuanzia na sio wakitoka humo tena wanatamani bora warudi gereZani.
Haya SGR serikali wangetumia vibarua wafungwa mana kibarua analipwa 12500 TZS . INA mana 7500 inaenda serikalini ila alfu 5 ni ya kwao.
Yaani mwanzoni nilijua jpm angefanya hii kitu ningemkubali sana. Hata Stalin alitumia wafungwa kuijenga underground train ya Russia.
Keep it up jpm
Mtu aliyefungwa ukimfanyisha hizo kazi unajua UN watakutazamaje?Na askari magereza wana kazi gani ama wanakula kodi zetu bure. Inatakiwa wawende depo kama vipi wawe fiti.Yaani serikali inatakiwa iuze hiyo nguvu kazi. Wafanye kazi kwa manufaa ya nchi. Iwatafutie kazi za vibarua hata viwandani huko nchi za ng'ambo bana.
Hata uniforms kwakweli zinasikitisha sanaSasa hizo pesa zikarekebishe makazi ya askari, jamaa wanaishi kama mifugo kwenye vile vibanda vyao!
Hiyo ni lugha tu ya kisiasa kuwahadaa wadanganyika!Sijawahi kuelewa hii kauli ya kuokoa Pesa....
Bajeti upange mwenyewe ya matumizi... Alafu useme badae kuwa umeiokoa tena bajeti yako....
How????
Mi naona hata Jeshi letu la Wananchi linatakiwa nalo lijiendeshe Kama Magereza,watatengeneza pesa mingi sana,na wataanza hata kuikopesha Serekali!!Bado na vijana Wa jkt nao Hela ziokolewe huko kuna wapiga dili kupitia kwa wazabuni
Kumbe walikua wanatupiga Mara Mbili!!Sure, Isupilo wanalima mashamba miaka mingi sana. Nimeishi pale miaka kama kumi hivi. Lile ni gereza la kilimo na nadhani walikuwa wanakula wanachozalisha
Acha uwoga wa Maisha,Mungu atawapa riziki sehemu ingine! Hata computer zilivyokua zinaanza kuna watu waliziigopa kisa tu zitauwa baadhi ya ajira za Watu! Lakini hadi Leo ndiyo zimekua kipenzi Cha watu,maana tumeletewa simu za computer (smart phone)Na hao vibarua waliajiriwa sasa hivi ungewaajiri wewe au co..