Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.

Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi sijajenga mabondeni, tatizo ni nini hapo na nifanyaje?
 
Yaani tangu 2000 upo nyumba ya kupanga kazi kuendekeza starehe tu
 
Mwenye nyumba anasemaje kwanza maana kama umepanga, inatakiwa mjadili na mzee mwenye nyumba
 
Pole hapo inahitajika overhaul.. maana miaka 24 ni mingi sana

1- ubora wa tiles za miaka hiyo na sasa ni vitu viwil tofauti..

2- kuna crack ktk tiles ambapo wakat fundi anawek cement kuna uwaz ambao unapitisha maji ambayo yanakuj kupopup ktk uwaz / upenyo..
 
Umenieleza kitaalam, ila swali je hiyo crack imetokea mwaka huu? Maana miaka yote 24 sijawahi kuona hali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…