Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

Uliweka Damp proof membrane (DPM) kabla ya kumwaga jamvi?
 
JF bana mpaka upate majibu ya swali lako lazima usome walau comments zisizopungua 50,kwanza utakejeliwa,utaitwa kilaza au popoma,utaambiwa utafute hela,kisha baadae ndio mtoa msaada atatokea tena mmoja tu atakushauri kisha kwenye comment za mbele huyohuyo utakuta nae ameanza kukukejeli
 
Sidhani kama tatizo ni la fundi inawezekana shemu ulipo ni ya maji mengi (chem chem) hasa kipindi cha mvua nyingi
Uko sahii, kwenye uchochoro wa fire escape kuna asili ya chemchem kweli.

Sasa swali maji kupenya tiles kwa mara ya kwa wiki hii inaweza sababu kuu kuwa ni crack au nini?

Na kumaliza tatizo ni lazima uzifumuwe tiles zote uanze moja?
 
Bila picha ni umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…