Tiles ni kawaida kupitisha maji kama chini pamejaa maji huwa zinapitisha, sina hakika kama kuna tiles ambazo haziruhusu maji kupita. Labda wataalamu wa ujenzi watusaidieUko sahii, kwenye uchochoro wa fire escape kuna asili ya chemchem kweli.
Sasa swali maji kupenya tiles kwa mara ya kwa wiki hii inaweza sababu kuu kuwa ni crack au nini?
Na kumaliza tatizo ni lazima uzifumuwe tiles zote uanze moja?
Hiyo ni DPC sio DPMZile nylon nyeusi? Kama ndizo yes, lakini kuzunguka foundation.
Inategemea tunarud ktk ule usem wa usipoziba nyufq utajenga ukuta.Umenieleza kitaalam, ila swali je hiyo crack imetokea mwaka huu? Maana miaka yote 24 sijawahi kuona hali hii.
Akipiga picha nijulishe. Hana hicho chumba najua.mzee ungepiga picha hicho chumba na nnje ya nyumba nione nakusaidiaje
mambo mrembooAkipiga picha nijulishe. Hana hicho chumba najua.
Duh kisa autocorrectNadhani solution ni kubadili simu, muda mrefu settings zake zinanisumbuwa.
Mkopeshe basi 100M ajenge yake, mshua si aliacha mzigo mneneAcha kutetea utopolo. Huyu amepanga kwa miaka 23 now. Ni kijana wa ovyoo
Asante mhandisimzee ungepiga picha hicho chumba na nnje ya nyumba nione nakusaidiaje
Unatumia simu gani Dr??Nadhani solution ni kubadili simu, muda mrefu settings zake zinanisumbuwa.
tulipokua tunasoma nyie kazi kujificha vichakani tuu☹️☹️Asante mhandisi
Ndio uninange sasa,tulipokua tunasoma nyie kazi kujificha vichakani tuu☹️☹️
ukweli lazima niusemeNdio uninange sasa,
Kwa hiyo uhandisi wako umejikita kwenye nini?ukweli lazima niuseme
majengo na barabaraKwa hiyo uhandisi wako umejikita kwenye nini?
umeshapata solution?Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena nakuta wet majimaji hapo ndio sasa naamini maji yanatokea chini yanapenya taratibu kwenye tiles na Mimi sijajenga mabondeni, tatizo ni nini hapo na nifanyaje?
Nipe ajira basi Domestic Electrical installations, au wewe ndio ulikimbia umandemajengo na barabara