Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

Tile haziingizi maji. Wewe ulitegemea zifanye kazi ya waterproofing ambayo sio kazi yake. Hayo maji ni dalili kuwa kwenye sakafu ya chini/ zege kuna ufa na unapitisha maji kutoka kwenye udongo. Ondoa tiles sehemu husika ( kumbuka kuwa ufa unaweza kuwa mbali kidogo lakini maji yanapita sehemu ambayo grout imechoka. Ukishaona ufa, ziba halafu rudishia tiles. Weka upya grout ( siku hizi ziko ambazo ni waterproof) kote. Kama hayo maji yako bafuni, weka waterproofing kabla ya kuweka tiles. Zingatia pia kuwa kila baada ya miaka isiyozidi mitano karabati group.

Amandla...
 
Tatizo ni kuwa umejenga nyumba juu ya maji badala ya kujenga meli
 
Kupenyesha maji kwa tiles hakuhitaji kujiuliza maswali mengi.

Hapo kuna mambo matatu ya muhimu kujua: quality ya tiles zilizotumika, ratio ya saruji iliyotumika kubandikia hizo tiles pamoja na fundi aliyefitisha kama alikuwa anagongomela na kuacha mianya ya uwazi ndani.

Zingelitumika za Italy '50(cm) na saruji '6 (karai) kubandikia, ungelikuwa unaruka na kukanyagana hadi ungerithisha mjukuu wako hilo gheto bila kuona hayo maajabu!

Ikumbukwe kwamba tiles nyingi zenye diameter ndogo hupitisha unyevu na kuvujisha maji.
 
Gundi
 
Hongera utaingia kwenye kitabu cha Forbes utakuwa mtanzania wa kwanza kugundua tiles zina ingiza maji
 
Tayari una PHD mkuu.
We endelea KUGUNDUA tuu.
 
Foundation yako imeinuka kiasi gani toka ground level
 
Toka 2000 unaishi nyumba ya kupanga! We kweli kiazi.
 
Acheni kujenga viwanja vya mabondeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…