Kufuatia mvua zinazoendelea nimegunduwa tiles zinaingiza maji, nini tatizo?

Mkuu hapo chimba kisima tu iko siku utajukuta unaogelea ukiwa ndani
 
ALAFU ANA JIITA .. .. PHD. HIVI ANAJUA MAANA YA PHD AU AFUNGWE KABISA KWA KUDHARAU HICHO CHEO PHD.

KIAZI + KILAZA = ... ... ...
Ona hii takakata, ni PhD na siyo PHD, ficha upumbavu wako kwenye hadhara kama hii, unaonesha kiwango cha umbumbumbu wako.
 
Jane mambo? Samahani umeolewa?
Hivi hata kama mtu ana shida ya mke ndio aowe hii U.T.I sugu? Kweli?

Huyu malaya anasumbuliwa na stress siyo issue ya leo tu, tangu anajiunga JF na kujipachika ukoo ambao hata haumjui.
 
Ikiwa tiles zinaingiza maji wakati wa mvua, tatizo linaweza kuwa kwenye ufungaji wa sakafu au katika muundo wa jengo.
Ikiwa ufungaji wa tiles haukufanywa vizuri, kuna nafasi ya maji kuingia kati ya tiles na sakafu chini yake. Hii inaweza kusababisha ukungu na hatimaye maji kuingia ndani ya nyumba.
Katika hali mbaya zaidi, tatizo linaweza kuwa kwenye muundo wa jengo lenyewe. Kuvuja kwa maji kutoka kwenye paa au kuta kunaweza kusababisha maji kupenya kupitia sakafu.

+255754933110
EMAIL:mininggeologyit@gmail.com
MINING GEOLOGY IT TUNA WAKARIBISHA WATEJA WOTE WENYE ENEO LAKO UNALOTAKA KIJIOLOJIA KUANZIA MAKAZI,KILIMO,UTAFITI WA MADINI NA UCHIMBAJI ,MASOKO NA LESENI KWENYE TASNIA YA ICT.
 
Hivi hata kama mtu ana shida ya mke ndio aowe hii U.T.I sugu? Kweli?

Huyu malaya anasumbuliwa na stress siyo issue ya leo tu, tangu anajiunga JF na kujipachika ukoo ambao hata haumjui.
Niunganishe nae bro mi nimemzimia
 
Naheshimu maoni positive yóte na ushauri uliotolewa, ila hapa kuna kitu kipya nimekipata, ili la kuvuja kwa maji kwenye paa ni kweli lipo.

Maana kipindi najenga sebule, dining room na corridor niliweka tarazo, kwa sababu expensinsive sana kipindi hicho ndio bedroom nikaweka tiles.

Na shida iko chumba kimoja tu, na ukichunguza kwa makini si zaidi ya tiles 6 ambazo ndio unaona eneo hili ndio linakuwa wet, siyo kwa mimaji kibao no.
 
Niunganishe nae bro mi nimemzimia
Achana na hiyo takataka unatafuta matatizo tu, hakuna kitu cha thamani kama uhai na kuwa na afya njema.

I know her, najuwa hasira zake kwangu zinatokana na nini.
 
Mkuu hapo chimba kisima tu iko siku utajukuta unaogelea ukiwa ndani
Kipindi cha nyuma eneo letu lilikuwa na shida kubwa ya maji, tulikuwa tunanunuwa maji kwenye matoroli, nilichimba kisima cha kienyeji.

Baada ya dawasa kutuletea maji kile kisima situmii tena maji yake ni ya kumwagilia mauwa tu.

Kwahiyo kisima kipo nilikijengea.
 
Hizi mvua za kipindi hiki sio poa, ardhi imeshiba hadi inatema maji.

Ukifumua tiles eneo hilo lazima kuna crack, uzuri siku hizi kuna dawa za kuziba bila hata kuvunja vunja.
 
Ona hii takakata, ni PhD na siyo PHD, ficha upumbavu wako kwenye hadhara kama hii, unaonesha kiwango cha umbumbumbu wako.
UJUMBE UMFIKA. Iwe PHD,PhD,phd iyo wewe utjaza mwenyewe kikubwa umesoma na ume elewa kilicho andikwa.
 
Kuna sehemu aliposema amepanga? Au ameedit?
Keyboard prediction ilikuwa on, lakini kwa mtu mwenye akili timamu Para za mwisho zimejieleza vizuri tu.

Huyo humjui tu, namuweka kiporo leo kuna watu wamenisii, nilikuwa nataka kumpa full dose asinizowee tena.

By the way mimi kwanza siwashangai lolote watu ambao hawajajenga kila mtu na mfumo wake wa maisha, na wengine wamepanga lakini wana nyumba zao.
 
Hii na mimi imenikuta mwaka huu.kona zote za sebulen zimeingiza maji mimi naona ni water table imekua juu sabab mvua imekua nyingi mwaka huu.ila mimi sabab nimeihisi ni sebulen nilichimba ipo chini kama 2 steps kwenda chini kuliko sehem zingine so mm hili ndo tatizo.So hii shida kwako si tiles kama wengine wanavyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…