Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Mambo si mambo huko Instagram, Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....

Kufuatia post hiyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku nguli wa Mziki Africa na mmiliki wa label kubwa zaidi Africa Don Jazzy akisupport ujumbe huo

Kama hyo haitoshi nyota wa mpira Africa Didier Drogba naye hakurudi nyuma kuonyesha kuwa FORBES waache kukadiria .....

========
Diamond Platnumz aandika hivi Intagram, FORBES: next time google me to know what am really worth of, before putting me on your Stupid Richest African Musicians List!

 
Wamemweka chini sana au juu sana?
 
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!

Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!

Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 5M)!!

Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kama kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million kwa mfano... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!

Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
 
Siyo huyu katika kulalamika hata Kanye West aliwai pia kuongea kisa Forbes kumtaja bilionea mwenye pesa kiduchu akati anazo kama 4 au tano
 
Wajinga wajinga kama akina mwijaku hawawezi kukuelewa , music ni fame , yaani pambana ujulikane , kitu ambacho hata harmonize anajua thus why analazimisha kutumia nguvu nyingi kuwa level moja na boss wake wa zamani , yote hyo kutengeneza attention then pesa
 
Watu wenye uwezo huu kufikiri huwa wachache sana tz .na nakuapia hakuana ataekuelewa
 
Hao forbes ndio uwa wanamuweka mo dewji tajiri no 1 Tanzania,binafsi kwa muono wangu naona bakhresa ndio anaweza kuwa tajiri namba 1
Kuna jamaa Tanzania wana ukwasi kuliko hata hao wanaojulikana na hawataki kujulikana. Kuna investor wa kibongo kawekeza kwenye madini ana pesa chafu na wafanyakazi wake wanaishi maisha ya kifahari huko kanda ya ziwa.

Kuna mwaka Forbes waliwahi muweka kwenye list ya matajiri wajao bosi wa Kisarawe. Hiyo tusubiri na tumuombee litokee.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kamchumbie Jesca Jiwe mahali nakuja kulipa.
 
Great comment....wabongo wengi akili ndogo hawajui mondi kiakili yuko mbali sana na hafanyi kitu just kufurahisha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…