mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Jamani sie tunaomiliki 40k tukakoment wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Jesca yule? Hapana kwa kweli....Kamchumbie Jesca Jiwe mahali nakuja kulipa.
Myself nimekuelewaWatu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!
Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!
Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata hata mkataba wa US$ 200,000 unafanana na hadhi yako!!
Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!
Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!! Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!
Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!
Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!
Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!
Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!
Wachukua mikopo nje ya nchi kama Mo Dewji wanazipa umuhimu sana Forbe Lists kwa sababu wanajua zinawajengea uhalali wa utajiri huko ng'ambo!
Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka zenye kelele nyiingi.Tajiri hatumii nguvu kujitangaza.
Pesa na mali zake zinatosha kumtangaza.
The guys are real riches.Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka na kelele nyiingi.
Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV 👇👇👇
Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.
Mzee baba umemaliza kila kitu uzi ulitakiwa uishie hapa hata me niliwaza kama wewe watu wasiojua biashara hawawezi kuliona Hili unakumbuka kuna kipindi Cha nyuma Diamond aliwahi kusema chini ya million 10 hawezi kufanya show kuna watu wakamdhiaki angalia now days thamani yake ilivyopanda.Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!
Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!
Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!
Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!
Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!
Wachukua mikopo nje ya nchi kama Mo Dewji wanazipa umuhimu sana Forbe Lists kwa sababu wanajua zinawajengea uhalali wa utajiri huko ng'ambo!
Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
Mimi huwa nawaona ni wendawazimu tu.Siyo huyu katika kulalamika hata Kanye West aliwai pia kuongea kisa Forbes kumtaja bilionea mwenye pesa kiduchu akati anazo kama 4 au tano
Mali zako ni kwa ajili ya ndoto zako. Hata watu wakijua, haisaidii kitu.The guys are real riches.
Na hawana makelele mengi.
Mwendo wa kimya kimya.
Sina pesa ila ndomo mshamba sana bora angekaa kimya tu
Mwenzake anaangalia kibiashara zaidi hizo thamani walizopewa na forbes ndio zinadetermine mikataba watakaoingia na makampuni na ndio maana diamond hii issue ameikomalia na ukuangalia wasanii wengi wa nje wamemsapoti ila sisi tunalichulia kama vile analazimisha aonekane tajiri Sana.Sina pesa ila ndomo mshamba sana bora angekaa kimya tu
Domo aache kulia lia, aweke financial Account zake tuone assets, na liabilities zake na kiasi Cha Kodi anacholipa
Hao wahindi mzee na ndio ma Tycoon wenye pesa ndefu hapa bongoNchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka na kelele nyiingi.
Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV 👇👇👇
Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.
Daimond hana hata pesa ya kununua V8 model ya 2016 Zero Km.Diamond ndo Baba Lao , most famous guy in Tz right now , huwa wanasubir aseme kitu , goat of bongo fleva Katia neno so mbwa wote ruksa kushadadia
Izo akaunti ni zao kweli???Mambo si mambo huko Instagram , Mega star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....
Kufuatia post hyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku nguli wa Mziki Africa na mmiliki wa label kubwa zaidi Africa Don Jazzy akisupport ujumbe huo
Kama hyo haitoshi nyota wa mpira Africa Didier Drogba naye hakurudi nyuma kuonyesha kuwa FORBES waache kukadria .....
View attachment 1789850