Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Elewa kitu kimoja chief , ukitafta matajiri 1000 bongo usishangae diamond kutoliona jina lake , Ila ndo mtu maarufu zaidi bongo right now ukiondoa Maghufuli aliyefariki....
Maonyesho ya Mali na kutambiana ni moja ya successful strategies ya msanii yyte duniani .... Yaan wao mafanikio Yao ni kuongelewa na watu ndo kunafanya mkono uingie kinywani .... Na hata hlo Povu kalitupa kimkakati hajakrupuka boss .....
Music is about fame mkuu bila hvo hutoboi...!!
Sipingi Diamond ku react vile na ninamuelewa sana.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Elewa kitu kimoja chief , ukitafta matajiri 1000 bongo usishangae diamond kutoliona jina lake , Ila ndo mtu maarufu zaidi bongo right now ukiondoa Maghufuli aliyefariki....
Maonyesho ya Mali na kutambiana ni moja ya successful strategies ya msanii yyte duniani .... Yaan wao mafanikio Yao ni kuongelewa na watu ndo kunafanya mkono uingie kinywani .... Na hata hlo Povu kalitupa kimkakati hajakrupuka boss .....
Music is about fame mkuu bila hvo hutoboi...!!
Hata siku akinya kariakoo mchana wa saba. Utasikia yule ni msanii lazima afanye vile yaani huo ndio u-genius wenyewe.

Ukishakuwa msukule wa mtu unakuwa mwehu kabisa yaani.
 
Namuunga mkono kwa hili. Haiingii akilini eti: Koffi + Diamond = Akothee.
No way.
 
Duh hapo TRA wakileta takwimu zao tunasema tumeonewa Forbes wakitupa pungufu tunasema wamekosea , Ningekuwa TAX officer hapo nafuatilia kwa karibu sana na kuandaa makabrasha yangu...
Diamond ni fala tu hata asikutisheni, kelele kibao mara ooh mnajua mi nalipa kodi shng ngapi kwa mwezi, mara ntanunua ndege mara ntalipia watu kodi za nyumba, mara ataanzisha sports bet nk.
NCHI HII HAKUNA PESA ATAINGIZA NA ASIJULIKANE. TUNA MIFUMO IMARA MNO. ACCOUNTS ZAKE BENKI ZINAJULIKANA, MAGARI ANAYOMILIKI YANAJULIKANA, KODI ANAZOLIPA YEYE (INDIVIDUAL) ZINAJULIKANA, UMILIKI WA NYUMBA UNAJULIKANA, UMILIKI WA KAMPUNI UNAJULIKANA. ASICHOKIJUA NI KWAMBA WATU WANAMCHEKA TU. NA KWAMBA ETHICS ZA KAZI ZA WATU NDIO ZINAMLINDA ILA ANGESHAPATA AIBU.
Ndio maana huwa naomba mamake apate ugonjwa/homa kubwa moja tu ili muone kama hajatokeza mbele za watu kuomba msaada wa matibabu.
 
Mimi huwa nawaona ni wendawazimu tu.

Kanye West na Jay Z walikuwa marafiki sana ila baadaye urafiki wao ni kama ukafa.

Baadaye Forbes wenyewe wakafanya uchunguzi wao wakasema Jigga ni billionnaire. Kanye akaona yeye kimya, akawa anawafuata anawambia na yeye ni billionnaire mpaka mzigo wa receipt akachukua akawapelekea ndio wakamtangaza ila kwa kiwango kidogo kuliko ambacho mwenyewe alitamba anacho.

Sasa huu huwa ni uchizi plain.
Uchizi vip wakati walimtangaza? hoja hapa West alikuwa sahihi jamaa walishindwa kufanya tafiti wakakurupuka ,baada ya kuwaonyesha kampuni ya Yeezy na share anazomiliki, wakaufyata wakamtangaza, Forbes ni watu mda mwengine wanakurupuka tuuu
 
Diamond ni fala tu hata asikutisheni, kelele kibao mara ooh mnajua mi nalipa kodi shng ngapi kwa mwezi, mara ntanunua ndege mara ntalipia watu kodi za nyumba, mara ataanzisha sports bet nk.
NCHI HII HAKUNA PESA ATAINGIZA NA ASIJULIKANE. TUNA MIFUMO IMARA MNO. ACCOUNTS ZAKE BENKI ZINAJULIKANA, MAGARI ANAYOMILIKI YANAJULIKANA, KODI ANAZOLIPA YEYE (INDIVIDUAL) ZINAJULIKANA, UMILIKI WA NYUMBA UNAJULIKANA, UMILIKI WA KAMPUNI UNAJULIKANA. ASICHOKIJUA NI KWAMBA WATU WANAMCHEKA TU. NA KWAMBA ETHICS ZA KAZI ZA WATU NDIO ZINAMLINDA ILA ANGESHAPATA AIBU.
Ndio maana huwa naomba mamake apate home kubwa moja tu ili muone kama hajatokeza mbele za watu kuomba msaada wa matibabu.
Ata Kanye West walimuona fala, baadae Forbes wenyewe wakaufyata wakamtangaza bilionea, hawa Forbes kuna mda hawana Data, lazima muhusika aseme
 
Afanye kama kanye west ama maana alipeleka mpaka risiti forbes
Na walimtangaza kuwa ni bilionea, Kanye West hataki ujinga, Data lazima ziwekwe sawa , haiwezekani mtu awalishe watu uongo kuhusu wewe halafu ukae kimya huo ni upunguani
 
The guys are real riches.

Na hawana makelele mengi.

Mwendo wa kimya kimya.
Hoja hapa sio kelele, kinachozungumzwa hapa ni Forbes kutoa data za uongo, wakati wahusika wapo wanaweza kuwahoji na kujiridhisha, badala ya kujadili hili mnachanganya habari
 
Huyo gsm anakula na mtu wa serikalini huko akiiba anapewa yeye asimamie.....

Hii ishu ipo sana afrika
Iraq wakati wa saddam hussein mtoto wake aliitwa Uday alikuwa anachukua washkaji zake anawafungulia ACC ulaya kwa majina yao ila pesa ni ya Uday
 
Mambo si mambo huko Instagram , Mega star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....

Kufuatia post hyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku nguli wa Mziki Africa na mmiliki wa label kubwa zaidi Africa Don Jazzy akisupport ujumbe huo

Kama hyo haitoshi nyota wa mpira Africa Didier Drogba naye hakurudi nyuma kuonyesha kuwa FORBES waache kukadria .....
View attachment 1789850
Yes anayo haki kulalamika ntakupa mifano michache kuhusu Forbes na Grammy
1.Forbes walilalamikiwa sana na Kanye West, baada walipopewa data sahihi na Kanye West walimtangaza kuwa bilionea, hii tafsiri yake hawa jamaa kuna muda hawana taarifaaa kamili hivyo lazima waambie

2.-Kuhusu Grammy za mwaka 2021, wamemuweka Justin Bieber kwenye category ya POP wakati yeye anaimba R&B alilalamika sana lakini wapi, ebu fikiria kama watu wanashindwa kujua Justin anaimba nini kwanini usiwe nao makini? wanafanya sana makosa
-Grammy hiyo hiyo THE WEEKND amewashutumu Grammy kuwa ni Corrupt, maana ngoma yake ya Blinding light imepigwa sana na album yake imeuza vibaya mno halafu ata nomination moja kakosa, hivyo sio kila wakati wako sahihi, hili jambo limewashangaza wengi
 
Back
Top Bottom