mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Uko emotional sana mdogo wangu,kama hujui mjini hapa madalali ndio wanajua nani ni nani,sasa usibeze tu, inawezekana dalali anamjua boss wako kuliko wewe unavyomjua.Wewe ni kilaza wa kiwango cha SGR , sometyme kama hujui unaziba Kopo lako kuliko kuropoka utachekwa na watu mshamba kweli , endelea Tu na kazi yako ya udalali kwenye majumba ya wanaume
View attachment 1797781
Mtu mpak anasceeen short malipo ili muamini lakini poverty mindset zimewajaa na hyo ni YouTube , sio sportfy au apple music achana na uchafu wa boomplay , mzikii, Werner as so on
View attachment 1797783
Tunakosoana lakni pia tujifunze ku-appreciate mtu anapofanya vyema,.....
Matangazo ya Pepsi , Altel , coral , n.k yanamlipa 6000 kweli , show za nje unafkr analipwa laki tano tano ..daah anyway mawazo yako ni sahihi
Ukiangalia kwenye swala la views niliweka neno(wastani)makusudi kabisa,ila uko mbio hata huna muda kutafakari,ukaenda kuiparamia waah.
Sisi hatukatai mond ana hela,maswali yetu kwake ni wakati kama huu anapokutana na kishindo cha forbes,ndipo maswali ya ukwasi wake yanaanza tena,kisha tunaanza kuchambua kila anachokitumia kutuonyesha.