Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Sasa how come unahangaika kujadili jambo la kijinga?!

Na ingawaje unadai huumizwi na mambo yake lakini ukisikia kuumizwa ndo huko! Mara nyumba, mara ndege, mara kodi.... aaaaaargh!! Baada ya kuuliza ametufanya nini hadi tumuamini wakati hakuna popote niliposema Diamond ni tajiri kuliko alivyoripotiwa na Forbes, wewe ndo unatakiwa kujiuliza how come unaumizwa kiasi hicho?!
Sijawahi hata kutamani maisha anayoishi uyo jamaa Mimi maisha yangu naona cool kuliko yake yamejaa stress .kwaio inshort siwezi kuumia Ila natoa mawazo yangu Kama mtanzania ninapoona Kuna watanzania wanaamini uongo uongo was huyu kijana
 
Nchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka zenye kelele nyiingi.

Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV 👇👇👇

Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.

Mbona hiyo hela ndogo kuliko hata ambayo Dayamondi anakadiriwa kuwa nayo na hao Fobisi.
 
US Governor declares October 6 ‘Wizkid Day’. Recall that in 2018, Mark Dayton, Governor of Minnesota, United States of America, declared October 6 of every year as ‘Wizkid Day” in Minnesota, as part of a conscious effort to honor and celebrate his lifetime musical achievements.

Eti Diamond anasemaje??? 😂 😂 😂 Bado sana!!!
 
Mambo yetu ngozi nyeusi, beberu huwa wako kimya, hawajali hayo mambo ya kuwekwa list, wanajali, assets na numbers za ma accountant na auditors.

Kibongobongo kwanza huwa tunadanganya kwenye mapato, risiti ya laki, unaombwa iandikwe 60.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sijaona mantiki ya Diamond kupaniki namna ile... Hakika sijaona.

Yanii he sounded Dumb !! Kabisa... Im his fan ila angemute tu. They say... 'Actions speak louder'

Amejibehave kimbagala mnoo...
 
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!

Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!

Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!

Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!

Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
Ngoja nikopy hii coment mkuu nikauze nyago istaa.
 
IMG_5923.jpg

Davido
 
Sijaona mantiki ya Diamond kupaniki namna ile... Hakika sijaona.

Yanii he sounded Dumb !! Kabisa... Im his fan ila angemute tu. They say... 'Actions speak louder'

Amejibehave kimbagala mnoo...
Na huo u mbagala ndo uhalisia wake huyo domokaya.
 
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!

Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!

Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!

Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!

Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!

hili ndio jibu sahihi
 
Now I can finally understand... Ikiwa King mwenyewe tu anaumia na kuanza kumwaga taarabu, seuze Vijakazi wake!!!
 
Tukiacha ushabiki diamond ni masikini tu kama masikini wengine...hizo v8 hata mi mkulima wa mpunga natembelea..hao akina davido wanatembelea gari diamond hawezi nunua,kuna jamaa mmoja tulikuwa tunabishana eti diamond kampita mbali sana starboy!!!..nilicheka vibaya mno
 
Daah mkuu pambana boss
 
Mambo si mambo huko Instagram , Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....

Kufuatia post hiyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku nguli wa Mziki Africa na mmiliki wa label kubwa zaidi Africa Don Jazzy akisupport ujumbe huo

Kama hyo haitoshi nyota wa mpira Africa Didier Drogba naye hakurudi nyuma kuonyesha kuwa FORBES waache kukadria .....
Mambo mengine yanachosha sana. Hivi mimi nikikuita maskini kwa mujibu wa vigezo vyangu binafsi utanilaumu ? Ukiona huridhiki then prove me otherwise kwa kuonesha your net worthy
 
Back
Top Bottom