Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Nafanyajazi masaa arobaini kwa wiki, na mambo bado yako tight. Sometimes najiuliza sijui nilikosea wapi. Big up for them with the money to brag
 
Acha kazi kalime karanga boss
 
Elewa kitu kimoja chief , ukitafta matajiri 1000 bongo usishangae diamond kutoliona jina lake , Ila ndo mtu maarufu zaidi bongo right now ukiondoa Maghufuli aliyefariki.

Maonyesho ya Mali na kutambiana ni moja ya successful strategies ya msanii yyte duniani .... Yaan wao mafanikio Yao ni kuongelewa na watu ndo kunafanya mkono uingie kinywani .... Na hata hlo Povu kalitupa kimkakati hajakrupuka boss

Music is about fame mkuu bila hvo hutoboi...!!
So kumbe domo ni maarufu, but hana pesa?😂😂😂
 
Yes anayo haki kulalamika ntakupa mifano michache kuhusu Forbes na Grammy
1.Forbes walilalamikiwa sana na Kanye West, baada walipopewa data sahihi na Kanye West walimtangaza kuwa bilionea, hii tafsiri yake hawa jamaa kuna muda hawana taarifaaa kamili hivyo lazima waambie

2.-Kuhusu Grammy za mwaka 2021, wamemuweka Justin Bieber kwenye category ya POP wakati yeye anaimba R&B alilalamika sana lakini wapi, ebu fikiria kama watu wanashindwa kujua Justin anaimba nini kwanini usiwe nao makini? wanafanya sana makosa
-Grammy hiyo hiyo THE WEEKND amewashutumu Grammy kuwa ni Corrupt, maana ngoma yake ya Blinding light imepigwa sana na album yake imeuza vibaya mno halafu ata nomination moja kakosa, hivyo sio kila wakati wako sahihi, hili jambo limewashangaza wengi
Umewahi kuona financial report yoyote ya domo kama una copy tuwekee na sie tuone?😂😂😂
 
Diamond ndo Baba Lao , most famous guy in Tz right now , huwa wanasubir aseme kitu , goat of bongo fleva Katia neno so mbwa wote ruksa kushadadia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmepigwa cha mbavu, mayowee yanatoka bila break, poleeeeeeh
 
Kuna watu wana mkwanja asee, Kama huyu tajiri wa Gsm ni noma, juzi ndio nilikutana naye pale kwenye mjengo wake mpya Salamander Tower, halafu jamaa very simple Sana, hana makuu..
Jamaa kiazi kweli ww ukisikia mtu tajiri ulitegemea ukute amevaa ndala za dhahabu!!??
au anapumua gesi ya moto!!?
tajiri anakwenda choo na kunya kama ww
tofauti ni akili zenu tu
 
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!

Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!

Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!

Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!

Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
unatukana watu bure tu,ila hawana kosa.

wewe nawezasema kuwa umetumia maelezo mengi kusema" diamond analalamika kwanini forbes hawajamweka kwenye mazingira mazuri ya kibaishara kama wengine"ila umeiremba remba sentesi hiyo.
kitu ambacho hata wanaombeza,ni kwasasabu analalamika kutangazwa kwa kitu ambacho hakionekani.

sasa shida haiko kwa watu,ila kwake yeye kuonyesha malia alizonazo kwao forbes,hata zile hesabu za 6000 kila baada ya sekunde,anafaa aonyeshe.
 
unatukana watu bure tu,ila hawana kosa.
Wapi nimetukana watu?

Ungekuwa unamfuatilia vizuri Diamond na kuacha negativities ungegundua mara nyingi kama sio zote Diamond maamuzi yake ni ya kibiashara zaidi!!

Nyie mnao-judge watu kwa biasiness and negativities bado nakumbuka mlivyokuwa mnamkejeli pale alipoachana na Vevo Mirror Account huku mkimdhihaki kwamba kakimbia Vevo kwa sababu kule huwezi kununua Views bila kujua kwamba mwenzenu alifanya hivyo kwa sababu alijua mapato kupitia Vevo Mirror Account ni kidogo kulinganisha na "pure" YouTube Account!

Hata Roc Nation walipotaka kumsainisha lakini akakataa, mkamkejeli na kudai anatafuta kiki na kwamba hana ubavu wa kuwakatalia Roc Nation bila kujua kwamba mwenzenu alikataa kwa sababu nature ya mkataba waliotaka kumpa Roc Nation usingekuwa na faida kipesa zaidi ya sifa tu!!

Na endapo back in the days ungekuwa umemsikia Editor wa Forbes akizungumza ni kwanini wapo wafanyabiashara wanaofikia hadi ku-lobby wawe kwenye Forbes List, huku wengine wakigoma kuwepo kwenye Forbes List basi wala usingeongea ulichoongea ambacho kinasukumwa zaidi na negativities!!

Nyie mnaombeza sio kwamba eti "....kwasasabu analalamika kutangazwa kwa kitu ambacho hakionekani...", bali bnyie ndo wale wale ambao always mmekuwa mkiongozwa na negativities!!

Hapo kama angekuwa ametokea akiwa USD 50 Million (kwa mfano), mngesema kwamba amehonga kwa Forbes!!!
 
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!

Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!

Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!

Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!

Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
Kwaio hata Kama huna hela unaforce wakuweke ili update izo endorsement
 
Diamond yuko sawa,Kanye west kila siku analalamika kuhusu hawa forbes kumkadiria ana hela ndogo wakati yeye anadai ana mkwanja mrefu
Unaona Sasa Forbes wanafanya tafiti kukadilia utajiri wako sio wewe uwaambie una hela ...
 
Great comment....wabongo wengi akili ndogo hawajui mondi kiakili yuko mbali sana na hafanyi kitu just kufurahisha watu
Me nazani mondi ndo akili zake mdogo pamoja na baadhi ya wanongo wanaomuunga mkono kwa kila anachosema na anachotaka kiwe
 
Kwaio hata Kama huna hela unaforce wakuweke ili update izo endorsement
Kuwaambia wafanye utafiti ili wafahamu how worth he is ndo ku-force?! Hivi nyie watu hii ni mara ya kwanza kuwasikia watu wakiwatolea povu Forbes kuhusu lists zao, au?!

Poleni sana aisee, manake wengi wenu ni wale wale ambao always mmekuwa mkiumizwa na mambo yake!!!
 
Unaona Sasa Forbes wanafanya tafiti kukadilia utajiri wako sio wewe uwaambie una hela ...
Kama ndivyo, mbona kwa Kanye walilazimika kumwingiza kwenye billionaires list baada ya kugundua kwamba kweli walichemka?

Kama kweli wanafanya huo utafiti vizuri mbona walilazimika kumtoa Kylie Jenner kwenye billionaire list baada ya kugundua kwamba utafiti wao hapo kabla hukuwa sahihi?
 
Wapi nimetukana watu?

Ungekuwa unamfuatilia vizuri Diamond na kuacha negativities ungegundua mara nyingi kama sio zote Diamond maamuzi yake ni ya kibiashara zaidi!!

Nyie mnao-judge watu kwa biasiness and negativities bado nakumbuka mlivyokuwa mnamkejeli pale alipoachana na Vevo Mirror Account huku mkimdhihaki kwamba kakimbia Vevo kwa sababu kule huwezi kununua Views bila kujua kwamba mwenzenu alifanya hivyo kwa sababu alijua mapato kupitia Vevo Mirror Account ni kidogo kulinganisha na "pure" YouTube Account!

Hata Roc Nation walipotaka kumsainisha lakini akakataa, mkamkejeli na kudai anatafuta kiki na kwamba hana ubavu wa kuwakatalia Roc Nation bila kujua kwamba mwenzenu alikataa kwa sababu nature ya mkataba waliotaka kumpa Roc Nation usingekuwa na faida kipesa zaidi ya sifa tu!!

Na endapo back in the days ungekuwa umemsikia Editor wa Forbes akizungumza ni kwanini wapo wafanyabiashara wanaofikia hadi ku-lobby wawe kwenye Forbes List, huku wengine wakigoma kuwepo kwenye Forbes List basi wala usingeongea ulichoongea ambacho kinasukumwa zaidi na negativities!!

Nyie mnaombeza sio kwamba eti "....kwasasabu analalamika kutangazwa kwa kitu ambacho hakionekani...", bali bnyie ndo wale wale ambao always mmekuwa mkiongozwa na negativities!!

Hapo kama angekuwa ametokea akiwa USD 50 Million (kwa mfano), mngesema kwamba amehonga kwa Forbes!!!
ni kama unakasirika bila sababu za msingi.
kwanini unahisi namfatilia diamond kwa negativity!!!!kumkosoa ndio negativity hizo au nawewe diamond ni baba yako kama babalevo!,kwamba hakosei!!

sisi tunàjua katika wasanii tz diamond ndiye mwenye pesa zaidi,na hata yeye aliishawahi kukiri kuna wasanii nje pia anawazidi rizki.

kama move ni kujiongezea thamani,alitakiwa ajikite hapo,nawewe mnazi wake ulipaswa ujue namna ya kulielezea hilo,sasa mtu awe na investment na assets za $500ml halafu forbes hawazijui,kosa ni lake,la forbes au sisi tunaoshangaa!!!!yeye apeleke nyaraka huko wampe stahiki yake.
vinginevyo zitabaki kuwa kelele tu zisizo na ukweli.
 
Kama ndivyo, mbona kwa Kanye walilazimika kumwingiza kwenye billionaires list baada ya kugundua kwamba kweli walichemka?

Kama kweli wanafanya huo utafiti vizuri mbona walilazimika kumtoa Kylie Jenner kwenye billionaire list baada ya kugundua kwamba utafiti wao hapo kabla hukuwa sahihi?

Kama ndivyo, mbona kwa Kanye walilazimika kumwingiza kwenye billionaires list baada ya kugundua kwamba kweli walichemka?

Kama kweli wanafanya huo utafiti vizuri mbona walilazimika kumtoa Kylie Jenner kwenye billionaire list baada ya kugundua kwamba utafiti wao hapo kabla hukuwa sahihi?
kanye west anaweza asiwe na sifa kama za diamond.

cha msingi hapo ni yeye kuwasilisha anavyomiliki wampe tittle anayoilalamikia.

mbona sisi alitwambia mpaka kwa sekunde anaingiza kiasi gani!!!!
 
Back
Top Bottom