Wasafi media iko topten africa katika kitu gani??embu jadili kama mtu timamu si shabiki maandazi.
Kulipwa 80mln show za nchi za watu,endorsement za elfu 6 kila baada ya sekunde,malipo youtube wastani wa 50 mln kwa nyimbo zake nyingi,yote ni maneno yake yeye mwenyewe,au chawa wake ndio wanaongea na kuyaandika.
Lakini maswali kwenye hayo hayawezi kujibiwa sababu nanyinyi mnajibanza kwenye kichaka cha hayo kutotuhusu waulizaji.
Kwenye swala la nyumba huo ulikuwa mfano tu,na nililinganisha thamani,ubora,na uzuri wa nyumba na mhusika,ila huwezi ona sababu unawaza kimasikini tu,kwamba kila mtu ni hater.
Huu uduanzi na maigizo uwe katika malengo ya biashara zaidi,shida ni nyinyi chawa wake mnapokomaa wakati hata hapo ofisini wengi wenu mishahara imekuwa kizungumkuti kwa stori kwamba mnapewa majina.