Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!
Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!
Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!
Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!
Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!
Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!