Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Ata Kanye West walimuona fala, baadae Forbes wenyewe wakaufyata wakamtangaza bilionea, hawa Forbes kuna mda hawana Data, lazima muhusika aseme
Mimi namuona fala huyo Diamond, wapuuzi kama nyie ndio anakushikeni akili.
 
Mambo si mambo huko Instagram , Mega star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....

Kufuatia post hyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku nguli wa Mziki Africa na mmiliki wa label kubwa zaidi Africa Don Jazzy akisupport ujumbe huo

Kama hyo haitoshi nyota wa mpira Africa Didier Drogba naye hakurudi nyuma kuonyesha kuwa FORBES waache kukadria .....
View attachment 1789850
Yes anayo haki kulalamika ntakupa mifano michache kuhusu Forbes na Grammy
1.Forbes walilalamikiwa sana na Kanye West, baada walipopewa data sahihi na Kanye West walimtangaza kuwa bilionea, hii tafsiri yake hawa jamaa kuna muda hawana taarifaaa kamili hivyo lazima waambie

2.-Kuhusu Grammy za mwaka 2021, wamemuweka Justin Bieber kwenye category ya POP wakati yeye anaimba R&B alilalamika sana lakini wapi, ebu fikiria kama watu wanashindwa kujua Justin anaimba nini kwanini usiwe nao makini? wanafanya sana makosa
-Grammy hiyo hiyo THE WEEKND amewashutumu Grammy kuwa ni Corrupt, maana ngoma yake ya Blinding light imepigwa sana na album yake imeuza vibaya mno halafu ata nomination moja kakosa, hivyo sio kila wakati wako sahihi, hili jambo limewashangaza wengi
 
CHAIIIIII
unabishana na rafiki zake na bodyguards wake ? wao ndio walisema hayo walipoojiwa, ingia mtandaoni usome, kwenye nyumba ya uday yalikutwa ma roli yamejaa USD, na moja ya final acts alizofanya saddam ni kuagiza zaidi ya usd 5 billion zitolewe bank kuu ya iraq, baadae zilikutwa zimetelekezwa
 
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
 
wewe una tatizo kubwa sana ngoja nikuache, mimi nasema nimeziona picha za hizo pesa mtandaoni miaka mingi iliyopita alafu wewe unaniuliza TSH wakati mimi naongelea USD,naishia hapa kuzungumza na wewe,member wakija watanisaidia kukuelewesha nilichoandika hapo juu
hapa JF huenda tunabishana na watoto, emu ingia google u search nilichokiandika acha kutumia hiyo simu kuangalia porn
 
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
 
Kitu pekee diamond anataka ni kuwa juu ya akina davido hizo mambo zingine ni kumtetea tu anachotakiwa apambane

Kama una milioni 100 watu wakasema una milioni 50 haimaanishi kwamba zile hamsini zingine hazipo,Mimi naamini Akon ana zaidi ya kile walichoandika Forbes juzi lkn watu wapo kimya hata davido na wenzie watakuwa zaidi ya walichoandika Forbes...jamaa anataka aongelewe tu(KIKI)ndo maana kazua haya yote

Drogba na Don jazz kusaport tweet ya diamond wala si kwamba wao wanajua how rich diamond is hata mkali wenu huko nae anaandamana...kama diamond anataka Forbes wa value thamani yake zaidi ya pale ili brand yake ipande thamani basi hata huko Google alisema watu waende wakacheki utajiri wake hakuna cha maana kikubwa itabidi afanye editing upya taarifa zake...
I'm Naseeb fan kabiiisa kabisa.

Nkaenda Google, nikitegemea kuna changes, nilikuta $7m

Sasa dah.
Anyways.
 
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
unnamed.jpg
 
Mwenzake anaangalia kibiashara zaidi hizo thamani walizopewa na forbes ndio zinadetermine mikataba watakaoingia na makampuni na ndio maana diamond hii issue ameikomalia na ukuangalia wasanii wengi wa nje wamemsapoti ila sisi tunalichulia kama vile analazimisha aonekane tajiri Sana.
Kama una hela hiyo mikataba unaomba au unaweka mpunga, tusijazane ujinga mwenye hela inamfuata halazimishi kuonekana anazo. Yaani mtu analilia aonekane ana hela ili apate endorsement unamuita ana hela[emoji3064][emoji3064]
 
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.

huenda wakati haya yanatokea ulikuwa hujazaliwa so nakusamehe kwa ujinga ulioandika hapo juu, ingia mtandaoni usome we dogo, kuna ma rais hapa africa walikuwa wanatembea na zaidi ya usd 5 million za ku spend tu wakati huo wewe ulikuwa kijijini kwenu huko
 
Sifa hizi bwan kwahyo altaka waseme yy kawafunika wote kwa pesa et
 
hapo kuna 100 million usd we dogo,wakati huo hii video inaoneshwa kwenye Tv baba yako hakuwa na TV,sisi kaka zako tulikuwa tunaiangalia
US Army Reserve Captain Erik C. Gonzalez pictured in a room with over $100 million dollars of Saddam Hussein’s money

PG040604M.jpg
 
Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!

Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!

Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!

Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!

Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
Sisi tumekuelewa.
 
We na huyo jamaa uliyem-quote wote akili zenu zipo kushoto .....!!! Hapa ni pesa katika music industry mkuu.....!!! Sio wauza mahindi au dhahabu
We unaongelea music

Ila wazee wa back bench wako wanabishana out of music

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom