Kufuatia Povu la Diamond Platnumz kwa FORBES, Drogba, Don Jazzy watia neno

Uko emotional sana mdogo wangu,kama hujui mjini hapa madalali ndio wanajua nani ni nani,sasa usibeze tu, inawezekana dalali anamjua boss wako kuliko wewe unavyomjua.

Ukiangalia kwenye swala la views niliweka neno(wastani)makusudi kabisa,ila uko mbio hata huna muda kutafakari,ukaenda kuiparamia waah.

Sisi hatukatai mond ana hela,maswali yetu kwake ni wakati kama huu anapokutana na kishindo cha forbes,ndipo maswali ya ukwasi wake yanaanza tena,kisha tunaanza kuchambua kila anachokitumia kutuonyesha.
 
Wataalamu tunaomba mkadirie thamani ya v8 zake pamoja na wasafi media
V8 moja kwa bei ya mkononi na kuipimp namna ile haizidi 200mln×2=400ml
Prado na kupimp=150ml,zingatia model yake tafadhali.

Bmw x7=70mln

Bado kuna mengine madogo madogo,tunakadiria yanawezafikisha 100m.
 
Diamond aachane na wanasiasa kubadilisha nyimbo zake kuimbia ccm ni kuto kua serious ni kweli ana ukwasi wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…