Wazazi ndio washike bango, sio kuuachia uongozi wa shule.Mamlaka husika chunguzeni shule ya msingi NKUHUNGU iliyoko Dodoma Jiji NKUHUNGU.
Huu uchafu unafanyika hapo na uongozi wa shule unajua na kuamua kukaa kimya kuepuka mlolongo wa ufuatiliaji/kesi.
Baadhi ya watoto wazazi wao wanakiri watoto kuharibiwa ila uchafu huo unafukiwa na baadhi ya wahusika wanafahamika (walimu shuleni hapo wanaelewa mchezo wote)
Duh hili pepo baya na huko kweny dini nako walimu wamegeuka washenzi pia hatuna pa kukimbiliaHuko shuleni watoto wanafanyiana sana, last week nimepokea kesi ya wanafunzi wa madarasa ya juu kumfanyia unyama mwanafunzi wa chekechea.....inauma.
Wazazi tuwe makini sana.
kanisa lipi hili? hapo muoaji ni yupi, duuuuhii mnasemaje???View attachment 2230847
Tz sasa hivi Kila mtu anastress, hakuna ambaye Yuko sawa.Bongo mwendo kufumuana marinda tu....sahvi
Maadili imeporomoka kwenye jamii, na hii miziki,sanaa zenu sahv ndiyo inachochea, mpk kufika 2030 marinda mengi yatakuwa yamefumuliwa!
Ova